TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Baada ya kukosa nafasi ya kuaga uwanjani nikasema ngoja niwahi uwanja wa ndege. Nilichokiona huku watu ni wengi mno wengine wametoka kwa miguu uwanjani wa Uhuru wakisindikiza msafara. Huzuni imetawala hapa ni vilio tu.
Sifa za kijinga! Corona ipo!
 
Unajua Magufuli alijaribu kuwaaminisha watu kua tunamtegemea Mungu.
Lakini Cha kushangaza hata Akina Lugola walipo muita Magufuli Mungu hakuijtokeza na kuwakemea.
Na hata Docta mpango alivo Muita Magufuli kua ni Mungu,Magufuli akujitokeza na kukemea.
Mungu kamuita Mungu mwenzie acha watu wakajionee kama ni kweli Mungu wa Tanzania kafa kweli,
Hata Mimi nipo,na nitaenda mpka chato nikajiidhirishe Kama ni kweli.
Lakini amefanya mambo mengi ndani ya muda mfupi
 
Wala sijapata ahueni,naona watu wanampigia debe Kinana na team yake warudi.Tunarudi kulekule kwa bora hata Magufuli.
Hiyo kauli ya "Bora Magufuli" hautaisikia nchini Tanzania mpaka unaingia akhera.

Kitu ambacho tumekuwa nacho na tumekisikia mara nyingi ni "Bora Kikwete", "Bora Mkapa", "Bora Mwinyi" na "Bora Nyerere".

Kwa sasa tunasikiliza ya mama yetu mpendwa Samia.
 
wachache akina nani?

Yaani huyu mtu amewaachia tabia mbovu sana ya double standard aisee....this is a big problem

kwahiyo kuna marais nyie judges ndio kwa utashi wenu mchague yupi apewe siku na nani asipewe siku ila ianzie na Magufuli ni bora kuliko wa zamani na watakaokuja nyie ndio mmeona?

tulidhani akifa tabia mbaya kama hizi zitakufa ila ndio kwanza zinaanza

Tabia mbovu za kidikteta,double standards,kuteka watu,etc mnaziendeleza,aisee hiki kirusi kiwaue woooote kabisa...

We are still in this nonsense japo mwanzilishi kafa
Kwahiyo na ya Nyerere ifutwe?
 
Hiyo kauli ya "Bora Magufuli" hautaisikia nchini Tanzania mpaka unaingia akhera.

Kitu ambacho tumekuwa nacho na tumekisikia mara nyingi ni "Bora Kikwete", "Bora Mkapa", "Bora Mwinyi" na "Bora Nyerere".

Kwa sasa tunasikiliza ya mama yetu mpendwa Samia.
Mimi nilikuwa anti-Magufuli (kama rais, si kama mwanadamu), lakini mkuu hapo mkuu umeteleza, kumkumbuka mtu ni muda wowote.

Suala la kumkumbuka mtu aliyepita linatokana na matatizo ya aliyepo kwa wakati huo. Tulianza kusema bora Kikwete baada ya Magufuli kuminya demokrasia na kuisigina katiba vya kutosha, vivyo hivyo anayefuata anaweza kukengeuka na kufanya ujinga wa kupita viwango. Hapo itakuwa rahisi sana kusema bora Magufuli kuliko huyu!
 
Ni kweli mkuu,"wanasema never say never" anaweza kuja mwendawazimu akawa hajali vitu wala watu....maana kwa Magufuli tunamkosoa tu kwa kutojali watu....lakini kwenye vitu aliwajibika siyo siri.
 
Acha upumbavu..!! Unahamasisha watu washerekee kifo. Tukikupwapua tukuhifadhi nyuma ya nondo uanze kulialia?
Mkuu sijachochea ila niliona post zao wakiomba mzee afe wafurahie, so nimeona sala zao zimejibiwa ikabidi niwakumbushe
 
Samia Suluhu akiwa kama Rais ajae, ana uwezo wa kuturudisha kwenye nchi ya maziwa na asali au kuendeleza ubabe wa toka 2015.

Afufue uchumi uliosinyaa na kuleta sera nzuri zenye kuleta ustawi na mshikamano wa taifa letu. Palipo vunjika aunganishe, walioumizwa wapewe faraja.

Pia tusidhihaki wapakwa mafuta.

JPM apumzike anapostahili.
Aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom