Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uboya.1.Aliwasema mabeberu waziwazi.
2. Mabeberu hawakumjibu.
3.Alizungumzia sana juu ya kifo chake.
4.Aliwaambia watanzania wamuombee Vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi je alihisi maadui wa sera zake wanamtafuta?
5.kama haitoshi katibu wake anafariki na yeye anafwata mwezi mmoja baadae.
Inafikirisha Sana.
✊Mkaguzi mkuu wa serikali anatakiwa afanye ukaguzi pale hazina kwanza kabla hawajampa mama nchi jumla jumla
Nitajibu la wanafunzi wa Yesu. Alikuwa nao lukuki wanaume kwa wanawake. Lakini kati ya hao alichagua mitume12. Katika hao 12 wako ambao majina yalifanana, mfano Yuda walikuwa wawili, Iskarioti msaliti na mwingine.Paulo alikuja baada ya Yesu. Na kuna namna Yesu alimuita wakati kesha rudi mbinguni. Umeona usivyo ielewa Biblia nadhani.
Wewe ni msukuma nini?Rais wangu,furaha yangu, msitakabali wa maisha yangu vyote vimepotea😫😥😪😭😭😭
Kwa hiyo?1.Aliwasema mabeberu waziwazi.
2. Mabeberu hawakumjibu.
3.Alizungumzia sana juu ya kifo chake.
4.Aliwaambia watanzania wamuombee Vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi je alihisi maadui wa sera zake wanamtafuta?
5.kama haitoshi katibu wake anafariki na yeye anafwata mwezi mmoja baadae.
Inafikirisha Sana.
Corona siyo mjomba wala shangazi. Tulijisahau mno tukaikejeli. Ikameza vidagaaa weee, ikarudi kwa samaki wa kati weee ikahamia kwa Mapapa wakaidi.1.Aliwasema mabeberu waziwazi.
2. Mabeberu hawakumjibu.
3.Alizungumzia sana juu ya kifo chake.
4.Aliwaambia watanzania wamuombee Vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi je alihisi maadui wa sera zake wanamtafuta?
5.kama haitoshi katibu wake anafariki na yeye anafwata mwezi mmoja baadae.
Inafikirisha Sana.
Wapambe walichangia sana. Moja ya udhaifu mbaya sana wa Magufuli ilikuwa ni kuteua wasaidiazi wake. Aliamini mtu anayesema ''yes, yes sir'' na kumsifu kwa kila kitu ndiye kiongozi mzuri. Ukionekana kwenda kinyume naye hata kama uko sahihi anakuona hufai. Matokeo yake akawa na wapambe badala ya wasaidizi wanautumia utalaam. Namna hii ni lazima mwisho uwe mbaya.Inashangaza kweli raisi alikuwa mwanasayansi media asiyeamini kwenye sayansi???? Africa bado safari ni mrefu sana
Yupo!huyu anaishambulia USA na kuvunja mikataba bila kujali wamarekani kwa malelfu wanaishi kwake mpaka kambi ya jeshi la marekani ipo hapo.na Kama haitoshi ameruhusu chanjo Sputnik V ambayo inatengezwa Russia wakati marekani wanaipiga Vita mataifa yasiiruhusuHivi Duterte amefariki?
"Macorona ya ajabu ajabu"Hichi kitu kimeingilia Tunduma kutoka South
Mnafki wewe kama unaamini binaadamu yeyote Ana mabaya tu hana mazuri. Idiot.Yaani usamehe mabaya uenzi mazuri?huu ni unafiki mkubwa sana.
Mbona unamtolea mapovu mwenzakoMnafki wewe kama unaamini binaadamu yeyote Ana mabaya tu hana mazuri. Idiot.