TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka Usiku huo wa tarehe 17 nilikua nyumbani kwangu ile nimemaliza kuzungumza na mke wangu aliyekua safari ile nakata simu nikakuta kuna sms imeingia ya sister wangu ananiambia et Magufuli Amefariki,

nilitetemeka mwili mzima vidole vikatoa jasho kabla nikafungua twiter kabla haijafunguka nikakata nikafungua jamii forum nikakuta habari ya Tanzia, kwakweli nilidondosha chozi,

nikaanza kuwatafuta wadau kupeana habari dah Pumzika kwa amani Jembe

 
Pole kwa wananchi wote mliopata msiba.
 
Kumbe alikuwa pia mwalimu wa hisabati?? Alikuwa anajua urefu wa bara bara Tanzania na gharama zake mpaka senti
 
Lema alimhonya kwa unabii baada kukaa jela miezi 4 bila kosa akasali kutubu na kujitakasa alimuonya.....jeuri kibri cha power leo Karma imemnyoosha namuona mjane wetu amenenepa hasa amenawiri hata mwaka bado najua amepitia mazito miaka 20 yao acha apumzike alee watoto kibri kimeenda
 
Yaani mama kanenepa balaa..lakini kuna wengine wakiwa na stress wananenepa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…