Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Labda kuna watu wamekuja kuhani msiba.Huu uzi kwa nini bado unaendelea hadi leo
?
Ningeomba ungejikita kwenye kumtusi kisiasa na SI kifamilia, acha kuongea uongo hapa, halafu unapokuwa mtu wa kuzusha na kuonekana kana kwamba unaijua vizuri hiyo familia unafanya jambo la hovyo sana!Mama ana siri nzito mateso manyanyaso anayajua yeye na Paroko acgeni tu msiojua miaka 10 mwisho ....Mama ameputa yapi acheni kabisa Mungu anajua kulipa machozi yavwamama.....acha ajifariji na watoto wake alikimbia nyumba huyo ....kuwekwa mke mwenza na mdogo wake ni dogo hilo ? Bado menhine acheni tuuu mwamba mtemi haswaa Kebbys salam kwenu banaaa
Upendo gani unaouzungumzia?Hahahaha
Mwamba na jeuri yote na ubabe wote ule, leo yupo peke yake analiwa na funza....
Mimi sina tatizo na kifo changu, naamini nitakufa.
Sina jeuri wala kiburi km cha mwamba....
Tumefunzwa kuwa wema na kuishi kwa upendo....
Ni suala la muda tu.... JPM sio wakwanza kuliwa na funza na wala si wamwisho.Mwamba analiwa na funza, sijui km tumbo lishapasuka
Miezi mitatu ishapita ,itapita miezi 6 ,itapita mwaka ,miaka na kubaki story tu.Mambo yameenda kwa kasi kubwa sana
Nifundishe jinsi ya kuedit mkuuHata wewe hapo kwenye covid unaweza kuedit
mbona iko sawa. we ulitakaje?Je hii ni hujuma? Mtandao wa wikipedia wameandika kuwa chanzo cha kifo cha hayati Magufuli ni Covid-19 kinyume na tamko la Rais Samia Suluhu alivyoliambia Taifa kuwa Hayati Magufuli alifariki kwa maradhi ya moyo.
Serikali iingilie kati dhdi ya uchaguzi huu wa Wikipedia wakiacha uzushi uenee matokeo yake itaaminika kweli hayati Magufuli alifariki kwa Covid-19.
View attachment 1824562