TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Baba,tokea uondoke dalili za ushaghalabala zilitamalaki na sasa zipo bayana.

....Ulipozidiwa tu na na wakagundua hutopona hadhina wakaanza kujilipa malipo ya mamilioni ya pesa!

....Ulipokufa tu Tanesco wakarejelea katika hali yao ya zamani.Unaambiwa sasa hivi hata mfumo wa tehama wa kununua umeme wa luku haueleweki!

Umeme pia kila baada ya lisaa unakatika.

....Ulipokufa tu,baadhi ya rafiki zako wakakutukana na kukukejeri kwa dharau zilizopindukia!

....Unaambiwa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unapigiwa upatu hatari na waliokuwa jamaazo!

....LNG na wazungu waleeee muda si mrefu eti mradi ule utaanza.

.....wafanyabiashara sasa wanao uwezo wa kutufanya chochote na tusiwaguse!

...kuna kila dalili Magogoni kuendelea kuwa makao...!

....wazungu tunawalamba vyovyote watakavyo!

....barakoa na Corona ruksa!

Na mengine mengi.

Rafiki yako wa kweli ndugu Palamagamba yupo na toka umuache hana tena furaha na amekuwa kimya hadi inaogopesha pengine anataka awe 'Mhehe!'

Nilisahau,machinga ni suala la muda tu huenda wataisoma bamba!

Yapo mengi ila kwa leo itoshe kusema hayo.

RiP JPM.
Uyo dikteta hakuna mwenye akili timamu akamkumbuka kwa lolote,Zaid ya uovu tu
 
Ya hazina kuchotwa nakubaliana nayo, ila nyingine zinanukia usukuma gan'g
 
Mtapiga kelele sana!!

Mbona hujamkumbusha kwamba wasiojulikana siku hizi hawapo tena, vyombo vya habari vipo huru, wafanyabiashara wameanza kurudi nk, ??!!
 
1.Tokea aondoke watumishi wameanza kupandishwa vyeo.
2. Tokea aondoke uamsho wameachiwa huru.
3. Tokea aondoke kukosoa serikali hakuna shida Tena.
4. Tokea aondoke Sheria zinafuatwa.
5. Tokea aondoke ukanda unapungua.
6. Tokea aondoke heshima ya ushirikiano wa kimataifa unazidi. Unaweza kuongezea
Kwani Uamsho aliwafunga yeye?
 
Rafiki yako wa kweli ndugu Palamagamba yupo na toka umuache hana tena furaha na amekuwa kimya hadi inaogopesha pengine anataka awe 'Mhehe!'
umemsahau BASHIRU ALLY KAKURWA mkuu, yule muda wote ANASONONEKA, kweli dunia haina huruma.
 
Magufuli ni binadamu aliyewahi kutawala Tanzania akiwa mpumbavu sana. Rudia neno mpumbavu.
Huyu aliamini kwenye personality yake badala ya sheria.
Mtu badala ya taasisi. Leo yapo wapi?
Mmebaki mnabwabwaja tuuuu. Pumbavu
Bila shaka ww nae ni mpumbavuu mzurii tuu..hao walioamn katika sheria na taasisi wamefanya nn cha maana tz? Zaid ya kuzifanya familia zao ziwe genge la kuuzia madawa ya kulevyaaa..jinga kabisaa hii nyani nyeusii
 
Baba,tokea uondoke dalili za ushaghalabala zilitamalaki na sasa zipo bayana.

....Ulipozidiwa tu na na wakagundua hutopona hadhina wakaanza kujilipa malipo ya mamilioni ya pesa!

....Ulipokufa tu Tanesco wakarejelea katika hali yao ya zamani.Unaambiwa sasa hivi hata mfumo wa tehama wa kununua umeme wa luku haueleweki!

Umeme pia kila baada ya lisaa unakatika.

....Ulipokufa tu,baadhi ya rafiki zako wakakutukana na kukukejeri kwa dharau zilizopindukia!

....Unaambiwa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unapigiwa upatu hatari na waliokuwa jamaazo!

....LNG na wazungu waleeee muda si mrefu eti mradi ule utaanza.

.....wafanyabiashara sasa wanao uwezo wa kutufanya chochote na tusiwaguse!

...kuna kila dalili Magogoni kuendelea kuwa makao...!

....wazungu tunawalamba vyovyote watakavyo!

....barakoa na Corona ruksa!

Na mengine mengi.

Rafiki yako wa kweli ndugu Palamagamba yupo na toka umuache hana tena furaha na amekuwa kimya hadi inaogopesha pengine anataka awe 'Mhehe!'

Nilisahau,machinga ni suala la muda tu huenda wataisoma bamba!

Yapo mengi ila kwa leo itoshe kusema hayo.

RiP JPM.
Tahadhari...Ukisoma ujinga kama huu mara kadhaa IQ zako zinashuka! Ukiubeba kichwani ndo balaa kabisa!! "Beware of fools"
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Baba,tokea uondoke dalili za ushaghalabala zilitamalaki na sasa zipo bayana.

....Ulipozidiwa tu na na wakagundua hutopona hadhina wakaanza kujilipa malipo ya mamilioni ya pesa!

....Ulipokufa tu Tanesco wakarejelea katika hali yao ya zamani.Unaambiwa sasa hivi hata mfumo wa tehama wa kununua umeme wa luku haueleweki!

Umeme pia kila baada ya lisaa unakatika.

....Ulipokufa tu,baadhi ya rafiki zako wakakutukana na kukukejeri kwa dharau zilizopindukia!

....Unaambiwa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unapigiwa upatu hatari na waliokuwa jamaazo!

....LNG na wazungu waleeee muda si mrefu eti mradi ule utaanza.

.....wafanyabiashara sasa wanao uwezo wa kutufanya chochote na tusiwaguse!

...kuna kila dalili Magogoni kuendelea kuwa makao...!

....wazungu tunawalamba vyovyote watakavyo!

....barakoa na Corona ruksa!

Na mengine mengi.

Rafiki yako wa kweli ndugu Palamagamba yupo na toka umuache hana tena furaha na amekuwa kimya hadi inaogopesha pengine anataka awe 'Mhehe!'

Nilisahau,machinga ni suala la muda tu huenda wataisoma bamba!

Yapo mengi ila kwa leo itoshe kusema hayo.

RiP JPM.
With all due respect, nimeanza kuwaona mateja mitaani.
Madawa ya kulevya yameqnza kurudi mitaani ndio maana yake.
 
Wanufaida wa utawala wa mwendazake dikteta Hamnazo inaonekana mirija yao ya 'umumiani' imekatwa na maisha hayawaendei sawa, extortion na ujambazi wa aina mbali mbali uliokuwa ukufanywa na wateule wa Hamnazo na kitengo maalum ndani ya idara yetu 'nyeti' ile kitonga iliyowaneemesha haipo tena.
Tumerudi kwenye 'fanya kazi kwa bidii, akili na maarifa' ili mambo yako yaende sawa.
 
Apumzike badala ya kuongoza malaika? Huku ni kumchulia!

Hujamkumbusha Uamsho wako nje, shangazi anaelekea kuupata uwakili wake, Mdude hali yake si mbaya sana, jamaa zake na bambika zao za TAKUKURU wamesambaratishwa, kamata kamata za kisiasa zimekoma, watu hatekwi tena, watu hawapotei tena, wasiojulikana hawapo tena, nyungu hakuna malimao wala michai chai, nk, nk.

Usisahau pia kumwambia tunakoelekea katiba mpya inanukia na tuko vifua mbere kweri kweri!
Tupo vifua mbele kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom