TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.

1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.

Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.

NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Umeshaungwa kwenye uzi mwingine.
 
Sukuma gaaang on the beaaatt

Jinsi ambavyo munajisikia yatima sasa hivi ndo hivyohivyo na sisi tulikua tukijisikia yatima enzi zake. Jikazeni..

Amelala yooh

Ila kuna miradi yake heshima yake apewe. Lkn msitulazimishie legacy. Acha zijiseme zenyewe. Iko miradi mingi tu mizuri ilifanywa na marais wengine zaidi yake pia. Hatupendi lazimishwa. Yajitangaze yenyewe. Kwanza ni kodi zetu. No favour. Unakua kiongozi kwakua uliomba mwenyewe kutuongoza na siyo sisi tulikutuma. So siyo favour. Watanzania muache ujinga wa kuona kufanyiwa vitu na serikali kama vile ni favour. Its our right

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kwamba ulikua peke yako tu hiyo siku ya tar 17 March ukishuhudia hayo? Unakumbuka uliyashudia hayo yote tarehe hiyo? Mbona zipo version nyingi sana za hilo tukio, unaweza kuthibitisha hii yako ndio yenyewe?
 
Kasimuliwa vipande vipande naye anatuletea vipande vipande.

Kwa mtu ambaye ameshawahi shuhudia "Mchakato wa kufa" kwa mara kadhaa wa kadhaaa ........

Et alivomaliza ,akajifunika, akalala, hakuamka tena[emoji23]
[emoji23][emoji23]ndo maana nimecheka asee
 
Kasimuliwa vipande vipande naye anatuletea vipande vipande.

Kwa mtu ambaye ameshawahi shuhudia "Mchakato wa kufa" kwa mara kadhaa wa kadhaaa ........

Et alivomaliza ,akajifunika, akalala, hakuamka tena[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi story zilikiwepo anatuletea leo tena. Amelala yooh

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.

1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.

Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.

NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Praise team.

Yaani kifo kikukabili bado uwe na uwezo wa kupiga simu nne ?! Labda siyo kifo
 
Kwamba ulikua peke yako tu hiyo siku ya tar 17 March ukishuhudia hayo? Unakumbuka uliyashudia hayo yote tarehe hiyo? Mbona zipo version nyingi sana za hilo tukio, unaweza kuthibitisha hii yako ndio yenyewe?
[emoji23][emoji23][emoji23] Mzena jamani. Na rais alivyokua private vile. Atuambie kama yeye ni yule bodygiard black maana na yeye tunaelezwa walifichwa taarifa kwanza

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sukuma gaaang on the beaaatt

Jinsi ambavyo munajisikia yatima sasa hivi ndo hivyohivyo na sisi tulikua tukijisikia yatima enzi zake. Jikazeni..

Amelala yooh

Ila kuna miradi yake heshima yake apewe. Lkn msitulazimishie legacy. Acha zijiseme zenyewe. Iko miradi mingi tu mizuri ilifanywa na marais wengine zaidi yake pia. Hatupendi lazimishwa. Yajitangaze yenyewe. Kwanza ni kodi zetu. No favour. Unakua kiongozi kwakua uliomba mwenyewe kutuongoza na siyo sisi tulikutuma. So siyo favour. Watanzania muache ujinga wa kuona kufanyiwa vitu na serikali kama vile ni favour. Its our right

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
fact miss Pablo hua nakubali Kwa akili zako timamu mkuu umetoa Somo zuri
Maendeleo sio favor za wanasisa ni Kodi zetu hizo zinatumika!
 
Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.

1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.

Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.

NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Haya maneno aliyasema Bwana Ngusa Samike,aliyekua mnikulu kipindi cha Magufuli,pia alikua msemaji wa Serikali! Pia katika wosia wa Magufuli,kuna mambo matatu alisema! Mawali waliyakumbuka wana familia,na waliyasema pale msibani,neno la tatu walisahau,je unaweza tuambie ni neno lipi kama ulikuwepo??
 
Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.

1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.

Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.

NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!

Kumbe si Majaliwa wala Samia walioongea naye kwa simu - ila ilikuwa danganya toto, sukuma gari bovu, vruuuuuu!
 
Kwisha zake huyo muuaji wa Saanane na wengine. Aliwatesa Watanzania bila sababu. Bora kafia mbali kabisa
 
Sukuma gaaang on the beaaatt

Jinsi ambavyo munajisikia yatima sasa hivi ndo hivyohivyo na sisi tulikua tukijisikia yatima enzi zake. Jikazeni..

Amelala yooh

Ila kuna miradi yake heshima yake apewe. Lkn msitulazimishie legacy. Acha zijiseme zenyewe. Iko miradi mingi tu mizuri ilifanywa na marais wengine zaidi yake pia. Hatupendi lazimishwa. Yajitangaze yenyewe. Kwanza ni kodi zetu. No favour. Unakua kiongozi kwakua uliomba mwenyewe kutuongoza na siyo sisi tulikutuma. So siyo favour. Watanzania muache ujinga wa kuona kufanyiwa vitu na serikali kama vile ni favour. Its our right

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
sasa hivi mnaendeleaje baada ya magufuli kufa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom