Hata kufariki inasemekana hakufariki tarehe 17 March[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi story zilikiwepo anatuletea leo tena. Amelala yooh
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
😭😭😭Afilie mbali
Yes. Ilikua mapema tu.Hata kufariki inasemekana hakufariki tarehe 17 March
Vizuri zaidi ya jana na leosasa hivi mnaendeleaje baada ya magufuli kufa?
Watanzania tunakera sana mkuu. Utasikia rais ametoa billion kadhaa. Nye nye nye. Ametoa wapi hiyo hela? Yaan hela.zetu halaf tena rais ametupa? Bastarda. Katika maisha yangu i will never be a boot licker to any one. Or else they should come and kill meeeeefact miss Pablo hua nakubali Kwa akili zako timamu mkuu umetoa Somo zuri
Maendeleo sio favor za wanasisa ni Kodi zetu hizo zinatumika!
Alikufa tarehe 10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Why is this news?
Alishakufa mapema zaidi kiroho.... from that day ever it was happy independency to every Tanganyikan...imagine ile katiba mpya yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila bwana Mungu mwanaume wa shoka sana. Akapita naye fyaaaaaaaaaaaaaa..Alikufa tarehe 10
Acha tu mkuu hakuna aijuae kesho leo polepole anafokewa na kina kihongosi ,bashiru kapotea kabisaAlishakufa mapema zaidi kiroho.... from that day ever it was happy independency to every Tanganyikan...imagine ile katiba mpya yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila bwana Mungu mwanaume wa shoka sana. Akapita naye fyaaaaaaaaaaaaaa..
Yaan hata bunge halijajipanga kukaaa yaan Mungu akavelala naue jamani[emoji23] alimtimua mbio za kibaka mwizi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wamepambana mpaka wamefanikiwaTarehe 14 Chattle inakuwa mkoa, legacy
Inatuhusu nini sisi watanzania?Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.
1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.
Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.
NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Fedha zinazofanya hiyi miradi ni kodi zetu sisi watanzania.Apumzike kwa amani.
Magufuli alikua na makosa mengi lakini kwenye SGR na Stigler ni maamuzi bora zaidi alifanya kwenye uhai wake.
Yaan kupitia mwendazake iliniongezea sana somo ktk maisha. Yaan kamwe usiongee ukamaliza yote. Na heshimu kila mtu aisee hujui kesho yako... ila nashangaa sana polepole hizi balls ni za sukuma gang bado wana nguvu ama ni kina naniAcha tu mkuu hakuna aijuae kesho leo polepole anafokewa na kina kihongosi ,bashiru kapotea kabisa
Wanadhani watanzania wote ni makauzu kama waoMtaandika sana, lakini mungu wenu amekufa. Inabidi muizoee hali tupo awamu sita kazi inaendelea.
Maana inasemekana aliletwa akiwa katika COMA tarehe za mwanzo za mwanzo za March. Kama una elimu ya afya utajua fika what follows after COMA..