TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Jibu hili hapa
 
shujaa wa kitu gani. Acheni kushika watu masikio
mkuu mimi hua sibishani na wafuasi...

kinachokusumbua wewe ni ufuasi, hutaki kutanua ubongo nje ya ufuasi...

mitazamo yako kwenye vyama ni ile ile...(hutoki nje ya mbowe)

hata kwenye simba ni hivyo hivyo(hutoki nje ya mo)

sasa mtu kama wewe tukikuelezea umuhimu wa magufuli, utaelewa?
 
Mtakatifu JPM

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Magufuli ana umuhimu gani?
 
Sasa hiyo elimu ya msingi alisoma miaka minane 1967-1974. Huyu bwana ngoja Mungu ampumzishe, alikuwa rais wa hovyo ni hakuna mfano.

Ameacha nchi ikiwa na machungu kwa dhuluma na uonevu aliokuwa akiwafanyia wananchi. Mungu atamuhukumu.
 
Ukicompear na huyu wa sasa bora mwenda sake kea kweli
 
Mkuu hili natumai ilikuwa Ni taarifa rasmi iliyoratibiwa na Wahusika maalumu kuwatoa hofu Watanzania.Ukweli mchungu Kifo hakina protocol ya kisiasa namna hiyo. Walisahau kuweka wanafamilia na marafiki zake wa karibu.Any way apumzike kwa Amani.
 
JPM alikuwa ni aina ya Rais ambaye hii Tanzania na nchi nyingi za kiafrika inawahitaji.

R.I.P Mzee wetu kila nikifika Chato natamani kulia, ndoto zangu zilikatishwa ghafla na kifo chako.
 
JPM alikuwa ni aina ya Rais ambaye hii Tanzania na nchi nyingi za kiafrika inawahitaji.

R.I.P Mzee wetu kila nikifika Chato natamani kulia, ndoto zangu zilikatishwa ghafla na kifo chako.
hahahahaha sema ukweli yaani ndoto zako zilikufa na mwendazake?

Sicheki Kwa mazuri ila imenisikitisha Sana mkuu kusema ukweli aliondoka na ndoto za wengi yule Mwamba nyingine ni ndoto za kutisha kiasi kwamba unaweza jikojolea kitandani aiseeee daaa!
 
Afrika inahitaji viongozi wenye maono kama Magufuli

Na sio viongozi wa porojo , perepeche mingi

Kinacho endesha treni ni ingini na sio honi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…