Familia nyingi au karibu zote baba au mama akipata Corona wote wanaumwa Corona, ukiangalia statistics hapa dar baba akiumwa mama naye yuko ICU akifa mmoja wote wanakufa kwa siku tofauti. Cha ajabu vifo vya JPM ,kijazi na msaidizi wake , wake zao wote wapo wazima hata homa tu kuumwa hakuna, kwa hiyo ukitumia akili au matako yako kufikiri kwamba Corona ndiyo alimwondoa JPM , uumba wa mwenyezi mungu utakuwa ujautendea haki.Kwa hili corona ilitufanyia jema watz haswa kumfyeka huyu kichaa
Yaani Covidi ilimfyeka bwana yuleee ikamfyeka fyeee sahivi anachomwa huko kuzimu maskini
Mama yule hadi kanenepa maana jamaa alikua anamtesa sana
Asante Corona kwa kutusaidia watanzania kutuondolea yule mwendakuzimu yaani ilimfyeka fyeeee!!!!!!!! Sahivi wafuasi wake wametawanyika kama vitoto vya kuku vilivyokimbizwa na mwewe yaani ni raha sana
Kwa kweli asante mungu asante corona kwa kutuondolea yule kicha mwendakuzimu!
Nimeandika na sifuti!!