TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Ni Kama maua~ hakika alikuja kama nuru hakuna alietegemea, huenda alipenda watu wamshauri lakini alitambua anamuda mfupi was kutumikia. Wengi huwakuelewa Ni nini anafanya na kwa sababu zipi anaamua hivyo lakini yeye alitambua.
Daima alimtanguliza Mungu na kusema watanzania lipendeni taifa lenu, Hakika alionyesha upendo naimani Kuna watu watamkumbuka daima. Machozi yalimtoka had a alipowaona wenye shida na wagonjwa, Hakika moyo wake ulijaa upendo.
Nani hamkumbuki? Nani anaetamani arudi amseme kwa Mema baada ya kimsema vibaya? Hakika aliletwa na Mungu kuongoza watu vipofu pamoja na yote hakukata tamaa na daima alisema ipo siku mtanikumbuka kwa Mema si mmabaya. Ni wapi alitokea hakuna alieamini, daima tutamkumbuka daima tutamlilia mzalendo was Taifa na Mkombozi was Afrika. Hakika alionyesha nuru nasi tumeiona akiwa ameondoka. Upendo wetu ulidhihirika tulipoona hatumuoni kwenye nyombo vya habari Kama tulivyomzoea, kumbe ni mioyo yetu yenye upendo kwake ilitamani masikio yamsikilize akihutubia. Baadae hatukuwa na amani, tulipoambiwa katutoka kweli tulilia na tutamkumbuka kwa yote.
Alipenda Taifa liende kwenye uchumi wa Kati kazi ipo kwetu kuendeleza mwanga aliotupatia Kama Watanzania. Hakika tukiungana na kijitoa tutafanikiwa kuifikia azma ya uchumi wa viwanda.
Hayati Doctor John Pombe Magufuri Pumzika Engineer. Engineer mkata vikwazo vya maendeleo, lala baba Taifa linasonga mbele na daima Tutakukumbuka zaidi ya ulivyodhania. Hakika ulikuwa nabii.

 
Alikuja Kama nuru ya CCM na si ya Tanzania,kuua wapinzani waliomkosoa ndo nuru kwenu?
Tutolee Bangi zako hapa...
 
Tanzania ilizizima kwa huzuni, Afrika na Dunia nzima iliduwaaaa
kamwe hututomsahau kwa mema yote aliyoyqfanya kwa watanzania.
 
Huyu Mtekaji, Mtesaji, Muaaji Mwenye Roho Mbaya, Kwa kweli chances za Huyu Mzee kuwa Motoni Kwa sasa ni Kubwa Sana
 
Kila nikiwakumbuka Ben Sa8, Azory Gwanda na Tundu Lisu. Namuomba Mungu aliuwe tena huko Jehanamu hili dubwana lililojiita jiwe .

Jiwe bin shetwani
Punguza kidogo munkar mkuu!Unaweza kushangaa utakapomkuta ameshika upanga wa moto na kukagua passports za waungwana pale getini!😝😝😝😝😝
 
Punguza kidogo munkar mkuu!Unaweza kushangaa utakapomkuta ameshika upanga wa moto na kukagua passports za waungwana pale getini![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Kwa ruhusa ya Mungu yupi? Msichezs na Mungu mtukufu mkafananisha na binadamu waliobariki maovu kutendeka chini ya amri zao.
 
Kwa ruhusa ya Mungu yupi? Msichezs na Mungu mtukufu mkafananisha na binadamu waliobariki maovu kutendeka chini ya amri zao.
Sasa, mbona wagagagigikoko wake wanamuanzishia nyuzi nyingi za kusifu na kuabudu?Wapo vema vichwani kweli?
 
Sidhani kama yupo aliyesfiwa na walimwengu. Kila MTU anawanao msifu na wanao mlaani hapa duniani. Mh. J.P. Magufuli ni mfano. R.I.P Jembe. Binadam hakamiliki.
 
Wanafiki nyikipindi alipokuwa hai mlimponda na kumsema vibaya..leo hii nyie nyie ndio mnamkumbu..kuliko usifiwe au upendwe na mwanadamu bora upendwe na simba
 
"Daima alimtanguliza Mungu na kusema watanzania lipendeni taifa lenu, Hakika alionyesha upendo naimani Kuna watu watamkumbuka daima. Machozi yalimtoka had a alipowaona wenye shida na wagonjwa, Hakika moyo wake ulijaa upendo...."
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…