Heaven Ambassador
Member
- Oct 27, 2017
- 91
- 94
Ni Kama maua~ hakika alikuja kama nuru hakuna alietegemea, huenda alipenda watu wamshauri lakini alitambua anamuda mfupi was kutumikia. Wengi huwakuelewa Ni nini anafanya na kwa sababu zipi anaamua hivyo lakini yeye alitambua.
Daima alimtanguliza Mungu na kusema watanzania lipendeni taifa lenu, Hakika alionyesha upendo naimani Kuna watu watamkumbuka daima. Machozi yalimtoka had a alipowaona wenye shida na wagonjwa, Hakika moyo wake ulijaa upendo.
Nani hamkumbuki? Nani anaetamani arudi amseme kwa Mema baada ya kimsema vibaya? Hakika aliletwa na Mungu kuongoza watu vipofu pamoja na yote hakukata tamaa na daima alisema ipo siku mtanikumbuka kwa Mema si mmabaya. Ni wapi alitokea hakuna alieamini, daima tutamkumbuka daima tutamlilia mzalendo was Taifa na Mkombozi was Afrika. Hakika alionyesha nuru nasi tumeiona akiwa ameondoka. Upendo wetu ulidhihirika tulipoona hatumuoni kwenye nyombo vya habari Kama tulivyomzoea, kumbe ni mioyo yetu yenye upendo kwake ilitamani masikio yamsikilize akihutubia. Baadae hatukuwa na amani, tulipoambiwa katutoka kweli tulilia na tutamkumbuka kwa yote.
Alipenda Taifa liende kwenye uchumi wa Kati kazi ipo kwetu kuendeleza mwanga aliotupatia Kama Watanzania. Hakika tukiungana na kijitoa tutafanikiwa kuifikia azma ya uchumi wa viwanda.
Hayati Doctor John Pombe Magufuri Pumzika Engineer. Engineer mkata vikwazo vya maendeleo, lala baba Taifa linasonga mbele na daima Tutakukumbuka zaidi ya ulivyodhania. Hakika ulikuwa nabii.