TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Si walikua wanasema JK ni Rais dhaifu,kisa tu alikua anawaalika Ikulu kunywa chai pamoja, Basi JK kwa Makusudi kabisa akawaletea Chuma kutoka Chato wapambane nacho, Sasa wamenyooka,na hadi Mama Sasa wanamsifia! Hiyo ndiyo CCM chama Dola wakiamuwa kunyoosha wananyoosha,na wakiamua kupindisha wanapindisha mazima!!!
 
Sasa hivi anachomwa moto kwa dhambi za kuwapoteza akina saa nane, kangoye na wengine wengi. Marafiki zake mtubu or else mtaishia kama yeye.
Moto asichomwe tundu lisu mshikishwa ukuta aje achomwe Magufuli mtetezi wa wanyonge?
 
Nimecheka sana.
 
Tusonge mbele maana hata akumbukwe vipi kurudi haiwezekani. Mtazamo wetu juu ya kifo ni tofauti na wenzetu huenda ndiyo maana wameendelea.
Kuna mama ni mtangazaji wa BBC alikuwa akipambana na kansa kwa miaka kadhaa, miezi miwili nyuma alibiwa imemshinda ana miez michache ya kuishi.
Angekuwa mbongo angelala na kulia na kusononeka.
Yeye aliomba arudi home amalize muda wake na watoto na familia yake.
Ana mtoto mdogo wa kike, akamwandalia zawadi za birthday mpaka atakapofikisha miaka 12, yani kila mwaka aliandaa zawadi yake, na akamwandalia zawadi ya siki atakapofunga ndoa apewe.
Na hii niliona kwa yule mama alishiriki Big Brother UK baadae akakutwa na cancer alifanya same thing.
JPM ashaondoka, is never coming back, la msingi ni tunasonga vipi.
 
Jk alishindwa kumuweka MTU wake ndio maana akapenyezwa JPM !
 
Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu
 
Sasa hivi anachomwa moto kwa dhambi za kuwapoteza akina saa nane, kangoye na wengine wengi. Marafiki zake mtubu or else mtaishia kama yeye.
hivi toka aanze kuungua hajaisha tu😅😅

maana manduza mnadhani Mungu ni mshikaji wenu peke yenu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…