Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akulaze mahala pema peponi.
Mungu akulaze mahala pema peponi.
Mungu akulaze mahala pema peponi.
Matanga yalishaisha muda.Hamjaanua matanga tu?
Keshaenda huyo, msipoteze muda kulia sana. Harudi tena
Basi tunawatakia kila la kheri kwenye maombolezo yao. Ila haisaidii sana maana inawapotezea muda.Matanga yalishaisha muda.
Lakini kadiri mnavyomtukana ndo wanaompenda wanavyozidi kuomboleza.
Matanga hayapoi hadi KADIMA iwepo
Hii thread leo kwangu ni ya mapicha tu siku nzima; mods wakiunganisha naanzisha nyingine.Hamjaanua matanga tu?
Keshaenda huyo, msipoteze muda kulia sana. Harudi tena
Sasa hivi keshakutana na akina Ben Saanane na Azory Gwanda wanamuuliza kuwa wewe ulidhani utabaki huko milele?
Nitakusaidia kuweka na ile yumo ndani ya jeneza kang'ata shukaHii thread leo kwangu ni ya mapicha tu siku nzima; mods wakiunganisha naanzusha nyingine.
Hakuna mwanadamu yeyote duniani anayejua mtu akifa kama anaenda jehanamu au peponi ni MUNGU pekee ndiye anayejua life after death.....hivyo tuache kufuru.The best way ni kumuombea lakini sio kuja na standing fulaniLeo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, ninajikumbusha niliwa kuandika nini kumhusu mtu huyu ambaye kwa sasa tayari yuko mbinguni kwa BABA YAKE Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Pumzika Magufuli Pumzika!, Tutakukumbuka Daima!.
Paskali!.