TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Nikwamba kila mtu anamapungufu yake ,lakini mnaotumia mda wenu kusema mabaya kwa Magufuli hamtabadilisha, chochote nikwamba tupo nyuma yake jeshi kubwa na la kutosha . Ni mda tu .... hutoamini . Hasa ni kwa wale waovu na wezi waliokuwa wanawaibia watanzania.
 
2F496415-0AD5-40C7-81AF-BC2D9E7FFC05.png
 


Mungu akulaze mahala pema peponi.

Picha hii omenithibitishia kuwa Presidential protection unit ni tawi la uvccm, why wavae kijani wakati wapo kazini ?,wana JF wananielewa msimamo wangu kuhusu magu, kwangu ni katili,muuaji na why ameondoka bila kunipa majibu ya wapi alike Ben Saanane ndio nazidi kumchukia,it's so sad hata respected members humu wameshamsahau Mr. SAANANE, karibuni lingusenguse nimeshaanza matembezi ya vitindi vyote vya ulanzi, lazima kila mbeta niinywe yote, why ?pls usiniulize
 
Matanga yalishaisha muda.
Lakini kadiri mnavyomtukana ndo wanaompenda wanavyozidi kuomboleza.

Matanga hayapoi hadi KADIMA iwepo
Basi tunawatakia kila la kheri kwenye maombolezo yao. Ila haisaidii sana maana inawapotezea muda.

Keshanyamaza milele huyo, kamwe hatoibuka tena kutekateka na kuumiza watu achilia mbali kupora korosho zao!
 
Hamjaanua matanga tu?

Keshaenda huyo, msipoteze muda kulia sana. Harudi tena

Sasa hivi keshakutana na akina Ben Saanane na Azory Gwanda wanamuuliza kuwa wewe ulidhani utabaki huko milele?
Hii thread leo kwangu ni ya mapicha tu siku nzima; mods wakiunganisha naanzisha nyingine.

Ndio namna yangu ya kumkumbuka alivyogusa maisha ya watu wengi.

Kama anakukera usichungulie hii mada maana itakuwa ya mapicha yake tu siku nzima.
 
Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, ninajikumbusha niliwa kuandika nini kumhusu mtu huyu ambaye kwa sasa tayari yuko mbinguni kwa BABA YAKE Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Pumzika Magufuli Pumzika!, Tutakukumbuka Daima!.
Paskali!.
Hakuna mwanadamu yeyote duniani anayejua mtu akifa kama anaenda jehanamu au peponi ni MUNGU pekee ndiye anayejua life after death.....hivyo tuache kufuru.The best way ni kumuombea lakini sio kuja na standing fulani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom