Simpangi mtu cha kuweka wala kuandika humu JF’s motto is freedom of expression.Nitakusaidia kuweka na ile yumo ndani ya jeneza kang'ata shuka
Upo sahihi mkuu kusema hivyo.Basi tunawatakia kila la kheri kwenye maombolezo yao. Ila haisaidii sana maana inawapotezea muda.
Keshanyamaza milele huyo, kamwe hatoibuka tena kutekateka na kuumiza watu achilia mbali kupora korosho zao!
AmenMungu akulaze mahala pema peponi
Ni sahihi na jambo jema, sisi pia hatuna budi kufanya maandalizi ya kwenda PeponiAmen saa hizi tayari yuko peponi!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Mungu akulaze mahala pema peponi.
R.I.P CHUMA JPM
Mungu akulaze mahala pema peponi.
Hivi kipi kimewasibuuuu?? Makubaliano ya kupangisha bandarii, hapa tutafanikiwa zaidiiii. Itaondoa rushwa na ubadhilifu uliopindukiaa. Kwa pamoja tumpongeze Dr. SAMIA SULUHU HASSAN. Kwa hili la bandarii ameupiga mwingiii1. Kututeulia makamu wako wa kike
2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge
3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.
4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.
5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.
Samia anaupiga kweli kweli1. Kututeulia makamu wako wa kike
2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge
3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.
4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.
5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.
Aliyewanyima elimu ya maana watanzania, alitukosea sana.Hivi kipi kimewasibuuuu?? Makubaliano ya kupangisha bandarii, hapa tutafanikiwa zaidiiii. Itaondoa rushwa na ubadhilifu uliopindukiaa. Kwa pamoja tumpongeze Dr. SAMIA SULUHU HASSAN. Kwa hili la bandarii ameupiga mwingiii
Isingekuwa yeye haya yote tusingekuwa nayo.Duh! Bado analaumiwa Magufuli tu?
Chadema siyo wa kuamini hata kidogo Magu aliwapatia hasa wanapenda Mambo yote mazuri yawe yao1. Kututeulia makamu wako wa kike
2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge
3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.
4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.
5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.
Unamkumbuka mtu aliyeua watu? Yupo wapi Ben sanane?1. Kututeulia makamu wako wa kike
2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge
3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.
4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.
5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.
Halafu kuna vijitu vinamtukuza1. Kututeulia makamu wako wa kike
2. Kututeulia mwanamke yule wa Tukuyu na kumpa ubunge
3. Kupuuza mchakato wa katiba mpya.
4. Kupambana na Upinzani na kuudhoofisha.
5. Kuhujumu uchaguzi mkuu 2020.