TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kutuletea Bunge hili la walopita bila kupingwa🀣
 
Haijalishi mapungufu makubwa ya ki utawala bora aliyopata kuwa nayo hayati Magufuli lililo la muhimu kwa sasa kifo chake tuombe kichunguzwe.

Nahisi kabisa huyo jamaa alienda na mengi na mengi hayo huenda ndiyo yanayoanza kuibuka sasa.
 
kwa maslah mapana ya taifa tuchunguze dp world kwanza
Haijalishi mapungufu makubwa ya ki utawala bora aliyopata kuwa nayo hayati Magufuli lililo la muhimu kwa sasa kifo chake tuombe kichunguzwe.

Nahisi kabisa huyo jamaa alienda na mengi na mengi hayo huenda ndiyo yanayoanza kuibuka sasa.
 
Haijalishi mapungufu makubwa ya ki utawala bora aliyopata kuwa nayo hayati Magufuli lililo la muhimu kwa sasa kifo chake tuombe kichunguzwe.

Nahisi kabisa huyo jamaa alienda na mengi na mengi hayo huenda ndiyo yanayoanza kuibuka sasa.

Ukifuatilia hapo juu utajua ukweli wote
 
Aliekufa kafaa ACHA kutusumbua na Hilo uwaji lenu Bora tupambane na DP w kuliko Yule mtoa roho za watu
 
Itakuja kufanyika ila siyo kwa kizazi hiki ambacho wanaona kabisa wananchi wamekataa/wamegoma bandari kupewa mwarabu wao wanatafuta upenyo kulazimisha apewe.
 
Hili ni jambo linapaswa kutajwa( for the record),kwamba juzi,siku ya Jumatano,mke wa Magufuli alitembelewa na Radio Kwizera ya Ngara,akasema:
"Nimeshi na mume wangu miaka 36,hakuwahi kulalamika tatizo la moyo,alikuwa mzima.
Sema tu dunia ni hadaa,ulimwengu shujaa.
Nimeporwa,ila Mungu anajua.
Ampumzishe kwa amani mzee wangu.
Nashindwa kubeba ari niliyo nayo.
Kweli Mungu ananipigania."
(Oh, nimesahau kusema hii olikuwa video ya two years ago ya Msafi Media katika Ayotv.)
Sasa,kwa radio interview,naona kwamba haikuwa ndefu sana, kwa vile naona ni sentensi moja tu. Au labda yapo mambo mengine hayakusemwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…