Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
🌚
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siaji amemtaja nani. Taja ata Mumoja tuuuuUshahidi anao CAG lakini unafichwa na binti wa mbeya.
Wabunge wa ccm hawana tofauti iwe wamepita kwa ushindani au bila kupingwa.Kutuletea Bunge hili la walopita bila kupingwa🤣
Haijalishi mapungufu makubwa ya ki utawala bora aliyopata kuwa nayo hayati Magufuli lililo la muhimu kwa sasa kifo chake tuombe kichunguzwe.
Nahisi kabisa huyo jamaa alienda na mengi na mengi hayo huenda ndiyo yanayoanza kuibuka sasa.
Je hudhani ndiyo moja ya sababu ya?!kwa maslah mapana ya taifa tuchunguze dp world kwanza