TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Inna llillah wainailayh raajiun
Time to prove people wrong Mama Samia
 
Jamani Mungu ampumnzishe kwa amani.Si kwa dharau zile. Corona hii jamani.
We acha , Trump nae ana bahati tu yule, alafu akaenda kuchoma chanjo kimya kimya hakutaka wafuasi wake wajue.

Ni ubinafsi kwa kiongozi kutochukua tahadhali kwa ugonjwa kama ule, matokeo yake Taifa sasa linaanza mchakato mpya wa uongozi.
 
Magufuli was very bold kusimamia kile ambacho aliamini kingeleta matokeo makubwa zaidi kwa nchi na wananchi, rest in eternal peace.
 
Nimeumia kichizi, huyu mzee siamini kama ni kweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…