TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kuishi ni Kristo kufa ni faida. Imekwisha. Mungu wetu kwa jina la Bwana Yesu Kristo ambaye JPM alimkiri hadharani atabakia kuwa Mungu Mkuu. Mungu wa miungu. Pumzika kwa amani ya Bwana Yesu.

Amani ile ishindayo amani zote, mpendwa wetu John Joseph Pombe Magufuli. Bwana alitoa na Bwana ametwaa tutaendelea kulihimidi Jina la Bwana Yesu.
 
Dah.. bwana alitoa, na bwana ametwaa.. jina la bwana lihidimiwe. RIP Mr President, mourn till we join you [emoji120][emoji173]
 
Dunia tunapita, Eeeh Mwenyezi Mungu tunakuomba umlaze Mahali pepa peponi, Amen. 😥
 
Habari ngumu sana hii kuipokea. Apumzike kwa amani Rais
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom