Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini hivyo.Kuna vifo vingine watu hujitakia wenyewe tu kwa kiburi. Angeweza kuishi kabisa zaidi ya hapo.
Yan me mpaka nimeamka kuwasha taa. Honestly nimeumiampaka natetemeka,nimepata uoga ambao sio wa kawaida.
hata mimi ninahuzuni sana ila imenifanya nifikilie sana kwa wimbo huo.... labda una maombolezo ndani yake,Nina huzuni ila nimejikuta nacheka. Acheni basi.
Uchaguz mpaka 2025Yes,japo alikuwa ananiudhi,lkn sikuwa tayari kwa hili, sababu sikuwa tayari kuona uchaguzi aisee!
Duuuuuhh!Hahahahahaha