Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuondoa impurity zake,Mkuu mpasuko hautatokea.
Tena tuaenda vizuri tu kadri ya mwenyezi Mungu atakavyo tusijitabilie mabaya.
Saa hizi walishachota sana.Hakika, alifikia pazuri, haya pango la wanyanganyi wajichotee kama kawaida
Unaushaidi mkuu? Nani hao?Wameamua Rais wangu ili tu wapate uhalal wa kuttuuzia chanjo inayo gandisha dam
Tupo Ktk majonzi , achana na chanjo kwanzaMzee hiyo chanjo unayoshadadia ndo' unaona usalama? Mbona huko walipoanza wameisitisha?