Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Si tulikubaliana kwamba haumwi, Tumeongea naye na simu anachapa Kazi? Na tukawakamata wote waliosepa anaumwa tukawaweka ndani???? Sabitakuaje????[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18] R.I.P
Wengi hawajui hilo. Kiongozi akifariki lazma uweke vitu sawa ndipo utangaze.Huyu alkuwa rais wa nchi so baada kufa lazima uandae mazingira ndo utangaze syo ghafla ghafla tu
Nchi ndio kwanza inarudi kwenye mstari mnyoofu.Mungu tuepushe mabeberu wasije kutuharibia nchi yetu, daaaah, nahofia kabisa
Mama Samia tumuombeeMama Samia akiwa kama Rais ajae.
Alete uchumi imara uliosinyaa na sera nzuri za ustawi na mshkamano wa taifa letu.
Magufuli apumzike anapostahili.
Kama aliyekufa hana msaada wowote kwako huwezi kushtuka. Wengi hawajashtuka, wengi pia wameshtukaAiseee...
Sijui kwanini habari za misiba huwa hazinishtui kabisa
Ni kweli...Watu wameteseka sana, wamenyanyaswa, wamepotezwa, wametekwa, kuzurumiwa kufungwa kwa kuonewa tu na wengine wako mahabusu mbalimbali na wengine wamekimbia nchi kwa akili yake....