TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema, Amina. Ni ukweli usiopingika kuwa tumepata pigo kubwa kama taifa.

Ni mtu aliyekuwa na maono kutamani nchi iendelee pamoja na watu wake, ghafla mshumaa umezimika. Ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Mbele yako, nyuma yetu, Tangulia Magufuli. Daima tutakuenzi
 
giphy.gif
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom