TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Natamani mama Samia afate nyayo za Magufuli bila kuyumba, tumuombee rais wetu mama Samia
 
Apumzike kwa amani! Pole kwa familia pamoja na watanzania wote!
 
Kuna mambo mengi yalikua yanaenda kinyume na matarajio yetu. Ila nilikua naomba Mungu muda wa raisi ufike amalize amuachie mwingine. Ila Mungu ndiye hupanga. Kapumzike baba, Mungu aipe nguvu familia yako.
 
Kweli kisasi aachiwe Mungu
 
Magufuli atakumbukwa kwa mengi sana. Ameweka kumbukumbu za kutosha...
Mungu ampumzishe kwa amani zaidi rais huyu.
 
Maendeleo hayana Chama nasema uongo ndugu zangu?
 
You just reap what you sow. Huu Mtawala being a Mathematician alitakiwa to balance the equation.....WATU =VITU....!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…