TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kiongozi wa Nchi analazwa tangu tarehe 6 March Wananchi hawafahamishwi tunadanganywa kwamba ni mzima anachapa kazi hadi siku 12 baadaye ndiyo tunafahamishwa amefariki siyo sawa kabisa ni kinyume cha katiba na taratibu za kuongoza Nchi.
Hata misiba yetu tu ya kawaida( kwenye familia uwa ikishatokea pale hospital mostly uwa tunastuck kwa masaa kadhaa kutafuta namna ya kuwapa taarifa waliopo nyumbani.
 
HAYA SASA, ATAFUTWE MTU MWINGINE SASA KAMA CHAKA LA KUJIFICHIA KUWA NDIO CHANZO CHA MAISHA MAGUMU KWA WALE WALIOKUA WANALALAMIKA..

R. I.P RAIS MAGUFULI. Umeweka standards, wakisema haiwezekani tutawaambia mbona JPM aliweza?
Nawahakikishie, JPM ndiye atayegeuka kupendwa sana na watanzania. Ukiwa nacho hutambui thamani yake mpaka kiondoke..
 
Mm Nina huzuni ila kuna watu Wana huzuni zaidi

Bashite
Musiba

Ushaur tu kwa atakayechukua kiti ana kaz ya kuliun ganisha taifa maana kuna mpasuko mkubwa Sana

Akae na vyama vya siasa vyote afanye majadiliano nao

RIP COMRADE
 
Daaah! Aisee naona shamba limerejeshwa kwa Bibi sina hata uhakika Kama yaliyoanzwa yatamalizika kwa kweli ametutoka kiongozi mwenye maono ya mbali kwa wenye akili Kama kiongozi alitaka tuwe na umeme Tanzania nzima na kuanzisha ujenzi wa mbwawa la nyerere na mengineyo mengi.
 
Wakristo hawana hayo mambo unayoyafikiria. Wakristo wengi wamesoma. Shida ni kwenu ambao mepata elimu akhera. Nyinyi muda wote huwa mnahisi mnaonewa

Peleka watoto shule, achana na hizo elimu akheri. Watoto wanachapwa kusoma Kiarabu
Katiba iko wazi kabisa, Mama Samia anaongoza mpaka miaka hii minne iliyobaki iishe. Watatkiwa kuchagua mtu mmoja kutoka kwenye chama chake awe Makamu wa Rais. Na yeye ataapishwa kuwa Rais! Namwomba amchague January Makamba (sijui Wakristo watapiga kelele) awe Makamu wa Rais! Hakika kufa kufaana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom