TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Comrade kaacha alama miaka mitano ya nguvu ,uthubutu ,mabadiliko ikibidi mafisadi na mabeberu kuumia .rest easy Ngosha Tanzania itakukumbuka
Alikuwa anajaribu kulazimisha mitano mingine tena kwa kumdhulumu mhanga wake!? Unategemea nini?
 
Siwezi kuwa mnafiki kamwe....
Na si ukubali unafki,
Asa mtu ambaye jana kafungua uzi akichagiza kamanda aende afu saiv apa anajitia anatia maneno ya Faraja na yote.
Naona unateseka sana mkuu.
Tulia jamaa yako hayupo tena
 
Inawezekana kabisa Mkuu maana hili la kupigana vikumbo ili kuhakikisha Samia hachukui Kiti lilikuwa mitandaoni kwa wiki nzima kama siyo zaidi.
Rais hawezi fariki leo na kutangazwa leo. Yamkini kafariki toka fen 27.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom