yes tumuombee heri asipatwe na loloteKuna vita kubwa ndani ya maccm Mkuu ili huyu mama asichukue nafasi hiyo. Ngoja tusikilize itakuwaje huu mvutano.
Aondoke na serikali yake yote ya "viti maalum" uitishwe uchaguzi ulio huru na wa haki.Kalazwa tangu tarehe 6 March lakini hii Serikali iliyojaa waongo ikaendelea kutudanganya Watanzania kwamba yuko busy anapitia mafaili. Na si ajabu alifariki siku chache zilizopita WAKATUFICHA.
Hapa napoishi kuna MATAGA mmoja kaja kuniamsha analia hadi makamasi yanii...
Nimejiuliza sana maswali mengi
Acha weee!Natamani mama Samia afate nyayo za Magufuli bila kuyumba, tumuombee rais wetu mama Samia
Ulifikiri hapa duniani ndo mwisho wa reli??Dunia tunapita, nimeamini sasa
Hata mimi aisee.Binafsi msiba umeniuma sana,,sanaaaa,najaribu kuwa okay lakini najiona sio muda nitaanza kulia
Sijawahi kuzoea kifo
Aondoke na serikali yake yote ya "viti maalum" uitishwe uchaguzi ulio huru na wa haki.
tusahau yalipita tujenge Taifa chin ya Mama Samiha Suluhu
Majaliwa ndo Rais ajae baada ya SAMIA.Kwani lissu ndo kasababisha au, viongozi wetu ndo wazinguaji hasa majaliwa,natamani hata uwaziri wa kawaida asipewe...