TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kuna vita kubwa ndani ya maccm Mkuu ili huyu mama asichukue nafasi hiyo. Ngoja tusikilize itakuwaje huu mvutano.
yes tumuombee heri asipatwe na lolote
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
daaaaaah nimeumia Sana kwa habari hizi.

tusonge mbele, one day tutakuja kutambua alichokipigania JPM.

Hongereni kwa wale mnaosherehekea taifa kuondokewa na jemedari mkuu aliyejitolea maisha yake kuipigania nchi yetu.pumzika kwa amani jemedari wetu, tuliotambua mapambano yako tunaomboleza kwa ajili yako.
 
Nawaza kama ATCL, SGR na Stieglers gorge vita-survive



Vipi wale waliokamatwa... Wataendelea kushikiliwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom