TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Sijawahi lia kiongozi yoyote akifa. Leo nimepatikana mimi [emoji24][emoji24]

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Magari yote Yale mav8 duh iatakiwachin ya mamsamia duh kweli huyu mam alijabiria kwakusema wanawake wanaweza siku ile ya siku ya wanawake nilipta waswas na kauli yake ila mwamba wa chato alikuwa na mazuri na mabay pia ngoja tuone utawala wa mwana mama
 
Huh..
Damnt im sad!

Dmn... iiiiiittt!
 
Msiba Mzito kwa Taifa. Pumzika kwa Amani Rais wetu Mpendwa Dkt Magufuli. Amina.
===
Tanzania ni Kubwa.
 
Bado inatembea katika walio karibu naye. Na sasa wote waanze kuheshimu kuvaa barakoa saa zote na wapige marufuku misongamano ya aina yoyote ile ili kupunguza maambukizi ambayo bado yanasambaa katika mikoa mingi nchini.
Wale wote waliofanya kazi karibu na marehemu lazima wapime na kujitibu ama sivyo tutalia sana!
 
Hkn kitu kibay upewe taarifa za kifo ukiwa pekee ako unauma sanaa
 
Tumepoteza. Lakini hatutapotea

Tumefiwa na atakayeishi nasi milele

Nani nyuma ya Magufuli?

Jibu. Mamilioni ya Watanzania

Nalia nalia nalia nalia nalia nalia sana. Ila naona furaha mpya ya milele.

Kwa hisani ya mtu wa tanzania!

Chuki itaondoka katika taifa letu, siasa za kishenzi mwisho wake, serikali kupika data na kuongea uongo wa wazi sasa mwisho. Na huu ni udhibitisho kuwa huku mitandaoni tunaongea mambo ya kweli. Mliokuwa mnamshabikia mtu muovu mjipange kuleta muovu mwingine tupaze laana zetu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…