Niliomba kwa Jina La YESU KRISTO TUNDULISSU ASIFE BAADA YA KUPIGWA RISASI
Tutakuwa na uchaguzi mkuu pengine kabla ya 2025.Sawa, tupo hapa tutaona. Hopefully uchaguzi ujao hamtaibiwa kura
Punguza chuki dada
Ngoja tuone furaha yao itaishia wapiNawashangaa sana wanafurahia huu msiba kwa kusema maisha yatakuwa mazuri kwao, hakika hao ni wapumbavu mana kifo hakiondoi ccm madarakani na mfumo ni ule ule daima
Upatwe na msiba utakao kuuma AmenKama huyo mama anaumwa huyo nitamuombea kwani huyo mama ni muhanga mwenzetu wa huyo dhalimu.
Hata yeye alitakiwa aache chuki na ubabeChuki aliileta yeye, hapa ni mrejesho tu.
Sawa mkuuTutakuwa na uchaguzi mkuu pengine kabla ya 2025.
Nawashangaa sana wanafurahia huu msiba kwa kusema maisha yatakuwa mazuri kwao, hakika hao ni wapumbavu mana kifo hakiondoi ccm madarakani na mfumo ni ule ule daima
waliuze chadema walivyoteswa na kuaawa na kuporwa uchaguzi serikali za mitaaSio kweli, kiasi alipoingia madarakani unyonyaji ulipungua, niulize mimi tulichofanyiwa kwenye viwanja vyetu, tumenyanyaswa na matajiri tukanyang'anywa ardhi na vigogo kisa kutoa rushwa,