TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Sasa zile mbwe mbwe, atake asitake milele daima inakuaje.
 
Natafuta K vant hapa duka la jirani nipooze uchungu ulionijaa rohoni .Tangulia kiongozi wetu hakika kizuri hakidumu
 
Pole mkuu. Sisi wengine machozi yetu yapo mbali sana na hasa kutokana na namna tulivyoumizwa na matendo ya utawala wake. Hakika sina hata tone la huzuni. Naogopa kuandika kilichopo moyoni mwangu nafikiri unaweza fikiria..
Naam mkuu.
Ni haki kuwaza na kufikiri tofauti. Ndio ubinadamu huo. Pole pia kwa yaliyokusibu.
 
Nasema hivi chuki itaondoka tu, hao wa kuiba wana kazi ngumu, maana hata yeye aliiongoza wizi wa kura kwani alikuwa na roho ya wizi, si kila mmoja ana roho chafu hivyo. Maombi yetu yamejibu fullstop.
Hv ishu ya kuibiwa kura imeanza wakati wa Magufuli au ww ndo umepata akili timamu wakati wa Magufuli.?
 
[emoji174][emoji174][emoji24]Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana.
 
Amekwenda, na hii ni njia yetu wote, lakini template ya makusanyo ya serikali aliyoiacha, na misingi aliyoisimamia ameacha legacy kubwa sana, na kama wanatawala hawatakuwa mafisadi, hakika hii nchi itasonga mbele, pumzika baba, mwendo umeumaliza.

Una uhakika gani kama alikuwa anakusanya kilichokuwa kinasemwa? Zungumzia watu kuporwa fedha zao na sio makusanyo. Chini ya utawala wake serikali ilikithiri kwa kupika data. Na uongo ulikuwa sehemu ya utawala wake. Rejea hotuba ya waziri Mkuu na VP siku mbili zilizopita.
 
Nasema hivi chuki itaondoka tu, hao wa kuiba wana kazi ngumu, maana hata yeye aliiongoza wizi wa kura kwani alikuwa na roho ya wizi, si kila mmoja ana roho chafu hivyo. Maombi yetu yamejibu fullstop.
Sawa, tupo hapa tutaona. Hopefully uchaguzi ujao hamtaibiwa kura, msijee sema mzimu umefufuka umewaibia kura. Maisha ni haya haya ndugu
 
Mm wala sijaguswa, sijaumia, sijasikitika, sijafurahi.

UJUMBE:
Urais ni taasisi, tujenge taasisi imara tusitegemee mtu. Watu huwa wanapita , Tanzania itabaki. Ole wao wamtegemeao mwanadamu mwenzao.

Utashangaa mtu anasema nani atasimamia miradi, seriaz kwamba katka watz milion 60 hakuna anaeweza kuongoza nchi hii. Tujenge taasisi imara ili kiongoz akiondoka tuone ni kawaida. Na mambo yanasonga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom