Unajibishana na watu wa humu? Utajipa makasiriko ya bure kama una roho nyepesi.Mkuu NINA HASIRA sana
Since huko nyuma Mtu yuko 24hr/7days yuko humu kumtukana na kumbomoa RAISI wetu mpendwa
Wamemuombea kifo Wamzushia kifo more than Once Leo hii MUNGU amemchukua (One of My Sons's legacy ) Lakini huyu mbwa analazimisha kafa kwa Corona
Shida yao ilikua RAIS wetu afe AU watangaze afe kutokanaa COVID 19 ? ?
Even his dead body didn't Accept Covid 19 That's My boy JPM
Acha unafiki wa kutusemea wengine,wakati wewe unafurahi sisi wengine tulikuwa kwenye mateso makali,kutesa kwa zamu sasa.Katika hili wapo watakao furahi na kushangilia sana juu ya msiba huu. Lakini siku si Nyingi watamkumbuka Huyu Bwana na watatambua Alikua anapigania nini.
Mungu Hata tuacha watu wema uchukiwa sana. Na maadui uwa wengi juu yao. Namwombea pia Rais wa Zanzibar Mungu amlinde na kila baya Amwepushie.
We mpiga mapambio naona unachekelea kweli hiki kifo!Maendeleo hayana Chama Nasema Uongo Ndugu zangu??
Apoze na kufuta machozi ya wananchi tangu kuanzia 2015 hadi sasa..Mama Samia jitahidi usimuangushe Magufuli, kaza msimamo mama simama kama vile hakuna kilichopungua.
Unavotembea kwenye miundombinu ya serikali wewe hujioni.? Basi hama nchiHaya sasa kalale kwenye hiyo miundombinu
Hawa walitudanganya mh. ni mzima anachapa kazi white house, na anatusalimu. Au hawakuwa well informed?Rejea hotuba ya waziri Mkuu na VP siku mbili zilizopita
Wabaya wataendelea kuwa wabaya, na wazuri wataendelea kuwa wazuri au wanaweza kuwa wabaya pia.Siwezi kuhukumu, la muhimu tuishi kwa kufanya mazuri zaidi ya mabaya, kwani siku, saa na dakika ya kuondoka hatuijui.
Kuna mambo hayalazimishwi, utavuna ulichopanda, mengine ni madhara ya roho mbaya!Acha hizo mkuu huu s wakat wakujadili haya tuomboleze pamoja
Sawa bossHuo ni mtizamo wako siwezi kukupinga ,kama Katelephone kadanganya mimi ni nani nisilete cheti cha kufoji? Kama wachina wamoji hati ya NEMC wakisaidiwa na maofisa wa serikali,mimi ni nani? Hapa kazi tu... mi7 tena.
Aisee acha tu, Kama ile hifadhi ya Burigi naskui hata wale simba waligoma kabisa kuishi paleKila nikipitia hizi coment nawaza hivi ule uwekezaji wa kule chato ndo tumeshakula hasara!
Wenye malori ya mizigo watahakikisha SGR hai take off.Nawaza kama ATCL, SGR na Stieglers gorge vita-survive