TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Mwendo ameumaliza Mheshimiwa Rais Magufuli...Tangulia baba...tutayaishi mazuri yako. R. I. P RAIS MAGUFULI.
 
R.I.P maisha hayana formula, pesa, madaraka ni mambo ya kupita tu, tuishi kwa upendo
 
Wafanyakazi wliofukuzwa kwa vyeti feki nawashuri wajiorganiza wafungue kesi mahakamani kudai mafao yao, Mama samia ni mtu wa huruma atawasaidia maana kashapata somo kwamba mali,vyeo ni vya kupita.
Labda kesi iwageukia wa kuwa na vyeti feki. Wenye vyeti feki wote watolewe tu wawekwe watu waliotumia mda wao kutafuta elimu.
 
Mungu ampumzishe kwa amani Rais wetu mpendwa.

Hakika tunapitia kipindi kigumu kama nchi.

Rais mwenye maono ya kuitoa Tz hapa ilipo iwe donor country, jasiri, atendae analoliamini bila kusita.

Hili ni pigo kubwa Sana kwetu Watanzania.

Ee Mungu baba tunaomba usituache watu wako
 
Hakuna nilichojifunza. Hata baba yangu alikufa, mimi nitakufa na wote humu mtakufa. Na maisha yataendelea kwa watu wengine..kifo hakijawahi kuwa funzo kwa binadamu yoyote, tunasikitika now lkn baada ya muda tunaendelea kutenda yale yale.
So kwangu kifo hakina funzo lolote
💯%!

Ni kama ulikuwa kichwani mwangu kwa asilimia zote nilizokupa hapo juu.

It doesn’t get any realer than the way you put it.
 
Umeijiwa na huruma maana nakumbuka andiko lako la 2010 ila tubu maana una mwili pia.
R.I.P Rais wangu John Joseph Magufuli
 
Kaka ni sala nimemuombea sana tangu uvumi uanze nimeomba mno. Kwakweli ameniuma huyu sio rahisi tu, bali ni mtoto wa mtu. Ana mama tena mzee dah
Hakuna atakaeishi milele.... Kazi ya Mungu haina makosa .. maisha lazima yaendelee mwanakwenda ameenda
 
Kwa mgonjwa aliyekua hta kuongea dakka 5 hawezi Vs Aliyepiga push up kma zotee!!!

Kuna somo kubwa la kujifunza hapa
Nadhani ishu ni wakati wako wa kuondoka ukifika basi hakuna kizuizi chochote kile
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom