TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Vizuri Huwa havidumu Mungu alitupa zawadi sasa ameichukua... pengine kazi aliyo pewa ameimaliza[emoji120][emoji120]
 
Il ni aibu, japo kifo ni cha mwanadamu Ila top officials kuanguka mfululizo, hapana sio sawa. Kuanzia Mahiga, Maalim Seif, Kijazi na sasa mkuu wa nchi. Ime prove kwamba whatever njia tuliyopitia kudhibiti haya maradhi, tulikuwa wrong, science has proved us wrong.

Haijalishi mwamba kaanguka kwa ugonjwa gani, tulikosea sana. Basi hata kusisitiza misongamano, kunawa mikono, kutumia sanitizer, kuvaa masks hatukuweza?

So sad raisi kufia madarakani!
 
Katiba iko wazi kabisa, Mama Samia anaongoza mpaka miaka hii minne iliyobaki iishe. Watatkiwa kuchagua mtu mmoja kutoka kwenye chama chake awe Makamu wa Rais. Na yeye ataapishwa kuwa Rais! Namwomba amchague January Makamba (sijui Wakristo watapiga kelele) awe Makamu wa Rais! Hakika kufa kufaana!
Basi namuombea heri Mama Samia aongoze kwa busara lakini pia awe strong atika maamuzi. Mambo ya mataifa mengine utuchukulia powa yasiwepo kabisa, tuheshimiane.

JPM aliwapa wakati mgumu majirani na nilikuwa namuunga mkono kwenye hilo maana walikuwa wanatuona maboya. Naona 2025 wakimpiga na chini CCM huyu mama.

Na kama hawajampiga chini naona 2030 Uchaguzi wa Zanzibar upinzani kupewa nchi. Huyu mama nasikia 2015 alisema alieshinda apewe nchi aongoze tu CCM zanzibar wakammainidi sijui lakini kama kweli.
 
Refer maneno yako ya 2010 au ulishatengua kauli?
But kumbuka una mwili wa nyama.
R.I.P Rais wangu John Joseph Magufuli
 
Waislam wanasema msiba ni ibada,
Kupitia msiba ni vizuri tukakumbushana kuishi vizuri na wenzetu hapa duniani kwani dunia hii sisi n wasafiri,

Viongozi kumbukeni uongozi wenu mwisho ni hapa duniani na kunamaisha baada ya kifo,

Tukiwa viongozi wenye mamlaka makubwa ambayo majeshi na dola ipo chini yetu tusijisahau kwani tukienenda vibaya tutaumiza watu tunaowaongoza,

Inafahamika sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,tukumbushane mara unapofanya jambo fulani kama kiongozi na kutokana na jambo unalofanya ukisikia mayowee makubwa kwa watu wako jirudi jaribu walau kulegeza kurekebisha ili unaowaongoza wakuombee mema.Ukipuuza duwa mbaya sio nzuri kwako.

Viongozi tukumbuke kuwa wenye kusamehe kwani mamlaka ya kiongozi kikatiba ni makubwa mno,mfano kiongozi ukiwaweka watu rumande huwapeleki mahakamani wanapoomba msamaha ni vema ukasamehe kwani binadamu tunategemeana unaweza mfungia rumande mtu mmoja lakini mtu huyo alitegemewa na watu wengi ambao wote hawa watakuombea duwa mbaya,

Viongozi wetu mnapobahatika kupata vyeo msifanye visasi kwa mambo yaliowahi kutokea.

Viongozi tunawakumbusha muishi vuzuri na mnaowaongoza wanaponung'unika kunamadhara kwenu hakika.

Tulio hai tukumbuke kuyafuata mazuri ya marehemu wetu wote kwani ni kweli enzi za uhai yapo mengi mema wamefanya,ni vema tukayaenzi kwa kuyaishi mema yao.

Ee Mungu tunakuomba pokea roho za marehemu wetu na uwasamehe dhambi zao,
Amina.
 
Refer maneno yako ya 2010 au ulishatengua kauli ?
But kumbuka una mwili wa nyama.
R.I.P Rais wangu John Joseph Magufuli
 
No one remain there.

Ni nani alipiga picha hii!!!!?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

FB_IMG_16160201820220786.jpg
 
Yesu yupi unayeongelea?

Yesu wa Nazareth aliye hai. Alishinda kifo na kaburi lake liwazi hadi leo pale Israel. Kila aliyepata Neema na Hekima itokayo kwa yeye Mungu ampokee, atubu dhambi zake abatizwe.

Na hii ndio njia pekee ya kufika katika ufalme wa Mungu mbinguni. Hapana jina lingine lipaswalo kuabudiwa ila Yesu. Na kwake Yesu kila goti litapigwa siku ili ya hukumu ya mwisho/ kiama.
 
Innalillah wainna ilayhi rajiun
#RIP magufuli, we will miss you[emoji174][emoji174][emoji26][emoji24]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom