💯 Hakuna kulegeza kamba, tunahitaji kumuona Magufuli ndani ya mama SamiaMama Samia jitahidi usimuangushe Magufuli, kaza msimamo mama simama kama vile hakuna kilichopungua.
Taarifa walikuwa nazo. Lakini nadhani walikua na hopes halafu pia kuepusha taharuki nadhani hivyo walivyofanya ni sahihi despite the bad credibility walopataHawa walitudanganya mh. ni mzima anachapa kazi white house, na anatusalimu. Au hawakuwa well informed?
Ndio maana yakeSo wadau mama samia ndo anakua rais mpaka 2025 sio?
Sent from my HUAWEI CRR-L09 using JamiiForums mobile app
Tupo mzee na tutaendelea kuwepo unasemaje ? ? ?
" The deaths of our WOLF jpm
won't give a chance to Your Dog "
"Wars come and go but my soldiers stays eternal" - By Lesane Parish Crooks, a.k.a Tupac Amaru Shakur, a.k.a 2pac, a.k.a Makaveli.Rest in power Ngosha. And rest well.
You made your mark.
Respect.
💪
Alisemaje?Refer maneno yako ya 2010 au ulishatengua kauli ?
But kumbuka una mwili wa nyama.
R.I.P Rais wangu John Joseph Magufuli
Wewe wacha tuu moja haikai mbili haisimamiTumeumia kweli kweli
Vp mkuu utafurahi kuona Ikulu ya Dodoma nayo imekufa eee
Aisee acha tu....yaani....Miradi yote isiyo na maana iliyoanzishwa kwa power yake yote itakufa...Kama ilishirikisha bunge na mamlaka zote itaendelea lakini kama alitumia nguvu yake basi itakufa kifo cha mende.
Play ndio nini?The giant has gone, let's play for his soul to rest in an eternal peace. Thank you for your outstanding service.
Pole Sana!Wanasema mtu akiwepo huwezi jua umuhimu wake. Yaani tangu nimepigiwa simu ya msiba huu nasikia maumivu usingizi sina nalia tu. Kweli wanawake tuna huruma sana.