TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Hawa walitudanganya mh. ni mzima anachapa kazi white house, na anatusalimu. Au hawakuwa well informed?
Taarifa walikuwa nazo. Lakini nadhani walikua na hopes halafu pia kuepusha taharuki nadhani hivyo walivyofanya ni sahihi despite the bad credibility walopata
 
Maisha ya mwanadamu hapa ulimwenguni ni hadithi, basi kuwa hadithi nzuri kwa wale watakao simuliwa hadithi yako.

Sote ni wa mwenyezi Mungu, na kwake yeye tutarejea.
 
Rest in power Ngosha. And rest well.

You made your mark.

Respect.

💪
"Wars come and go but my soldiers stays eternal" - By Lesane Parish Crooks, a.k.a Tupac Amaru Shakur, a.k.a 2pac, a.k.a Makaveli.

Magufuli will stay in our hearts eternally, he was a true soldier, he truly loved his country.
 
Tumeumia kweli kweli
Wewe wacha tuu moja haikai mbili haisimami

Mara naenda Mara nirudi SIELEWIII

Of Course kifo kipo mkuu wangu lakini zaidi kinachonitia hofu, Je NCHI yangu TZ itasimama kama ilivyokua kwa RAIS JPM au italiwa zaidi ya ilivyokua kipindi cha JK that's my biggest fear

NB: Uozo wa 2010-14 naujua, vitoto vya humu they know nothing gaddemit
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom