TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Imeona taarifa za vyombo vya nje? Ni kama walikuwa wanatafutia pa kutemea nyongo.
Ndugu ni kweli kabisa Wazungu hasa katika huo Ukurasa wa Twitter wa UK Premier Boris Johnson ( achilia kule kwa Majirani zenu Kenya na Citizen Tv yao ) si tu Wametema Nyongo bali Wametapika kabisa.
 
Daah em tumuweke kwenye maombi huyu mama yetu mana Tukianza kumsemea hali halisi tunayoiona kwake tunaweza kuanzisha uzi mpya wenye Comments zaidi ya 1m+
Busara inahitajika kumpata makamu wa Rais, anatakiwa mtu mwenye misimamo yake...ili waende sawa na mama Samia
 
Acha ujinga wewe,
Tangu lini mzungu alimpenda mtu mweusi?
Au kuna siku mkenya alimpenda mtanzania?
Hao wote JPM aliwabana kwenye kona sasa ndio wameanza kelele
Je, umeshajiuliza...

1. Ni kwanini Mtu Mweusi hapendwi na Mzungu?

2. Ni kwanini Wakenya katika Awamu hii tu ya Marehemu wana shida na Tanzania ila katika Awamu zingine Uhusiano wetu ulikuwa Imara zaidi?
 
Atasema, walikuwa hawasomi katiba
Itafikia muda itabidi uangalie comments za watu na kunyamaza kuliko kum-quote, kwa akili yako uliyonayo je hakuna sehemu yoyote ya katiba iliyoandikwa mamlaka ya rais kuwa anaruhusiwa kutokusikiliza ushauri wa mtu yeyote.?
 
Labda wanaweza kutoa maelezo hapo baadae, japo afya ya rais ni swala la kisheria, lakini rais kama raia ana haki yake ya kuweka mambo faragha.
 
Msicho jishughulisha nacho ktk clip ya mama samia ni namna anavyo vuta pumzi kwa shida. Mnapaswa kumwombea huyu Mama.
 
Nawaza ujenzi wa ikulu Dodoma maskini...
Sijui watasema tena warudi Dar[emoji119]
Miradi mingi itasimama ili hela zirudi kwenye mizunguko ya kawaida
 
Mkuu, Wikipedi wameshamuapisha tarehe 17 Machi 2021




 
Busara inahitajika kumpata makamu wa Rais, anatakiwa mtu mwenye misimamo yake...ili waende sawa na mama Samia
Mwisho wa siku rais ni rais tuu mana katiba itambeba mana anaweza kuja makamu wa rais mpole kama huyu mama yetu, ila kwa yule mama ee Mwenyezi Mungu awe sambamba nae kwenye kila hatua
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…