MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ndugu ni kweli kabisa Wazungu hasa katika huo Ukurasa wa Twitter wa UK Premier Boris Johnson ( achilia kule kwa Majirani zenu Kenya na Citizen Tv yao ) si tu Wametema Nyongo bali Wametapika kabisa.Imeona taarifa za vyombo vya nje? Ni kama walikuwa wanatafutia pa kutemea nyongo.