Umeombwa kuleta hizo lines watu wajifunze na wakufunze pia jinsi ya kusoma hiyo katiba, hujaleta.Itafikia muda itabidi uangalie comments za watu na kunyamaza kuliko kum-quote, kwa akili yako uliyonayo je hakuna sehemu yoyote ya katiba iliyoandikwa mamlaka ya rais kuwa anaruhusiwa kutokusikiliza ushauri wa mtu yeyote.?
Yanii mfyuuu sijui watu wapoje...Unaweza kuisaidia Police
Mi nadhan don't doubt her too much coz power ya VP sio kubwa when president is there(tumeona VP walopita.Mwisho wa siku rais ni rais tuu mana katiba itambeba mana anaweza kuja makamu wa rais mpole kama huyu mama yetu, ila kwa yule mama ee Mwenyezi Mungu awe sambamba nae kwenye kila hatua
Sio rahisi namna hioMiradi mingi itasimama ili hela zirudi kwenye mizunguko ya kawaida
KabisaKuendeleza project alizoziacha magufuli zinahitajika mtu mwenye mawazo na muono sawa na magufuli
Yamekuwa hayo tena!Msicho jishughulisha nacho ktk clip ya mama samia ni namna anavyo vuta pumzi kwa shida. Mnapaswa kumwombea huyu Mama.
Kuna watu walikua wanawatisha ndo maana taarifa zilivuja kwa kina Lissu mapemaTaarifa walikua nazo. Lakini nadhani walikua na hopes halafu pia kuepusha taharuki nadhani hivyo walivyofanya ni sahihi despite the bad credibility walopata
Sio kwamba ana uchungu sana?Msicho jishughulisha nacho ktk clip ya mama samia ni namna anavyo vuta pumzi kwa shida. Mnapaswa kumwombea huyu Mama.
It hurts!..
Ni kweli kabisa mkuuWatu hawaelewi tu,.mgawa riziki ni mwenyezi mungu. Tupo duniani kukamilisha yale ambayo tuliandikiwa. Maisha ni kama script tu kama uliandikiwa utapata kuna siku utajikuta uko katika mkondo huo huo wa mafanikio.
Hakuna binadamu anaeweza kuzuia riziki ya mwenzie, we have different fates na kila tunalopitia lina sababu zake.
Hata hao wanawatisha nao watakuja kufa tu.Kuna watu walikua wanawatisha ndo maana taarifa zilivuja kwa kina Lissu mapema
Amini mkuu!!Daaah hata siamini.sasa itakuaje??
Ndio uchungu unaweza kusababisha mengine. Kama alijikaza kwenye ziara hali akijua ukweli basi hapo hatuwezi kusema ni swala la uchunguSio kwamba ana uchungu sana?
Unadhani wote waliokuwa karibu yake walikua wanfurahia alichokua anafanya?kweli hakuna siri.. hata walio karibu yako ndo wa kwanza kutoa siri.
lwo ndo nmeamini
Nngekuwa na katiba softcopy ningeonyesha na n mpaka niichambue mana cjakariri kifunguUmeombwa kuleta hizo lines watu wajifunze na wakufunze pia jinsi ya kusoma hiyo katiba, hujaleta.