sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Umeombwa kuleta hizo lines watu wajifunze na wakufunze pia jinsi ya kusoma hiyo katiba, hujaleta.Itafikia muda itabidi uangalie comments za watu na kunyamaza kuliko kum-quote, kwa akili yako uliyonayo je hakuna sehemu yoyote ya katiba iliyoandikwa mamlaka ya rais kuwa anaruhusiwa kutokusikiliza ushauri wa mtu yeyote.?