TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Maisha ni mafupi sana:-

watu wamefukuzwa kwa vyeti feki na wamenyimwa mafao ,ni ukatiri mkubwa sana uliofanywa...Tutende mema dunia tunapita,Jk alikuwa anajua kwamba kuna watu wenye vyeti feki lakini aliacha na kuwaambia wajiendeleze.
Watu hajapatishiwa mishahara yao, watu wameuwa, watu walilazimishwa kukiri makosa, nk! Sijui kama alipata muda wa kutubu!!!??
 
Amekwenda, na hii ni njia yetu wote, lakini template ya makusanyo ya serikali aliyoiacha, na misingi aliyoisimamia ameacha legacy kubwa sana, na kama wanatawala hawatakuwa mafisadi, hakika hii nchi itasonga mbele, pumzika baba, mwendo umeumaliza.
Yale hayakuwa makusanyo halisi
 
Maalim alifariki tarehe 17.2.2021
Magu amefariki tarehe 17.3.2021
Karume alifariki tarehe 17.4.1972
hii tarehe 17 sio nzuri kwa watanzania.
 
Siamini hawa mabeberu na inawezekana wamepiga foul kwenye pacemaker, crazy idea lakini access ya serial number of pacemaker walikuwa wanaijua...🤔
 
Kweli mkuu ndo maana nkasema katiba itambeba, cha msingi ni kumuombea kwa Mungu ili tumuone Magufuli ndani yake
 
R.I.P JEMEDARI WETU..
TANZANIA IMEPOTEZA HAKIKA NITAKUKMBUKA KWA MSIMAMO WAKO WA KUIJENGA TANZANIA MPYA...
Ee MUNGU IBARIKI TANZANIA ,IBARIKI AFRIKA
 
Lema alifunuliwa akasema Mungu amemuonyesha ya kwamba Rais magufuli akiendelea kujiona yeye ni mungu hatafika 2020 lakini hakubadilika Mungu akamuongezea muda kidogo wa kujisahihisha lakini hakubadilika.
Sijui kama alipata muda wa kutubu!! Ila sio vizuri kuishi kwa kiburi kilichopitiliza, Mungu anasema"nawapinga wenye kiburi"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…