Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Sleep well Jemedari farewell Comrade John Pombe Magufuli Nimeamini Siku Za Kuishi Si Nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu ngoja tumpumzishe mzee wetu, joto lishuke afu tuone yatokanayo na hili saga...You think so?
Hardcore conspiracy theorists would say ‘the plot thickens’....
Yajayo yanafikirisha sana.
Jamaa alikua na pacemaker ila alikua mbishi mno, angestaafu tu. Wachina wakamdanganya kitu kikalipuka wakashindwa rekebisha..... Au CIA wamefanya yaoZile pushups za kumzodoa Lowassa kumbe sio kitu mbele ya Koona...
Wale wanafiki hawatapoteza muda... utasikia mama Samia ni mpango wa Mungu...Tulikuwa mitano tena kumbe miezi michache tu ..RIP magufuli
Sasa kwanini hakuzima ule ujinga wa "atake asitake, tunamwongezea muda"?Jamaa alikua na pacemaker ila alikua mbishi mno, angestaafu tu. Wachina wakamdanganya kitu kikalipuka wakashindwa rekebisha..... Au CIA wamefanya yao
Pole kwa msiba, Paukwa.Ati?!
Mzee kwani wewe hujanielewa wapi c ndo hicho hicho nachomaanisha mimi, mwisho wa siku ni lazima nidhamu ifuatwe ht akiamua kufanya jambo bila ushauri wa mtu yeyote.Nakusaidia kukileta, ila unaposoma uzingatie hizo zilizowekewa mistari myekundu na boksi jekundu utaelewa kuwa Rais hana mamlaka wala uwezo wa kuamua kiholela tu atakavyo mambo yaliyo kisheria
View attachment 1728479
Acha tu Komredi!Hebu ngoja tumpumzishe mzee wetu, joto lishuke afu tuone yatokanayo na hili saga...
Kuna mengi sana ya kujifunza kweye hili. Kujikwaa si kuanguka.
Ukiwa na nguvu na hela unazungukwa na wengi ambao hawatakuambia ukweliSasa kwanini hakuzima ule ujinga wa "atake asitake, tunamwongezea muda"?
No comment nisije nikamkasirisha MunguPole kwa msiba, Paukwa.
Ahsante kwa kurekebisha, yeah April saba. Si unajua majonzi yakizidikarume sio 7 april!
Mkuu Ondoa mawazo mgando, jifunze vitu vipya kuza ubongoUnaweza kuisaidia Police
Naona kabisa nchi yetu inaenda kutumbukia Shimoni zaidi ya ilivyokua kipindi cha JK.
NAUMIA SANA SANA
Lakini ipo siku na wewe utakata moto. Tusiendekeze chuki namna hio.Nimefurahi mno
Wikipedia hata wewe unaweza kuedit wasifu wa mtu yoyote ila kama editing si sahihi kwa mtu mashuhuri wanaediti