The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Rest in peace president.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, wewe ni mkamilifu!!!watanzania tumejawa unafiki sanaUlipopewa jogoo kule Kibiti ulisema na baba yako ameshafariki, yule mtu anaweza kuwa baba yako....
😂 😂 😂 😂Mitano tena pengine walimaanisha miezi... Novemba, Disemba, Januari, February na Machi... Sijui
Unamlilia shetani?pole yakoMie unafiki siutaki.. roho inauma balaa. Nilikua mpinzani kindaki ndaki ila nimelia jaman.. dah, nimeumiaaa
Ben saanane alikuwa jambazi? Rujabe alikuwa jambazi? Lissu alikuwa jambazi? Hao askari wasiokuwa na weledi kina zombe au walioiba nyama Buguruni ndio wa kuwaamini?askari anayeua jambazi,anafanya unyama kwa ajiri ya dunia njema kwa wengine.
bahati mbaya kwa ndugu wa jambazi mtizamo ni tofauti.
Na walio sema uongo kuwa haumwi wakamatwe wao sasahapa ndio utajua faida za umbea,hiachiwi mpaka akili ikae sawa.
Nadhani viongozi wa dini zote wamejifunza kutoka kwa utawala wa Kishetani wa Jiwe. Kuanzia sasa wasiruhusu Mwanasiasa yeyote kusimama kwenye mimbari na kuongea pumba,hata salamu iwe marufuku.Mbaya zaidi alishupaa kuyasema hayo akiwa kwenye mimbari ya msikiti na siku tukufu ya Ijumaa. Ama kweli aliyesema tusichanganye dini na siasa hakukosea!
Duh pole aisee kumbe ulikuwa huamini zile taarifa za akina vigogo na wenzake ulijua ni uongo .Nakubali sana raisi wetu alikuwa ni mtu wa maombi sana hata kama angekufa basi hata cku mbili engepata nafuu ya kutusalimia lkn ni uongo wa serkali uliwaaminisha Watanzania kama raisi ni mzima na anafanaya kazi zake Lawama zote ni za wale waliosema uongo.Kuna watu wamechangia Kifo cha Rais Wetu Mpendwa. Watanzania Sisi Sio Wavivu wa Kuomba kwa Mungu lakini Hatuwezi Kuomba Gizani Bila Kujua. Kama Tuliweza Kufunga kwa Kuomba Kuhusu Corona Mwaka Uliopita Tusingeshindwa kufunga na Kuomba Kwa Siku 3 kati ya Tarehe 06/3/2021 hadi leo, Huenda Mungu angesikia Maombi Yetu
Kinachoniuma nilishindwa kuingia Kwenye Maombi Serious Nikiwaamini Viongozi wangu waliokuwa wanasema Rais Yupo Salama.
Najuta Sana Kumuamini Mwanasiasa, Magufuli alikuwa mtu wa Kanisani Tusingeshindwa Kumuombea...... inauma Sanaa Anafariki mtu unae mpenda na kushindwa hata kumuombea. Nililiamini Jeshi La Polisis lilokuwa linakamata watu wanaoitwa Wamezusha Taarifa za Uongo kuhusu kuumwa Kwa Rais kumbe ningewasikiliza hao ningekuwa Nimemuweka Rais Kwenye Maombi.
Shame on You Wanasiasa Mliotudanganya na tukashindwa kama Watanzania Kumuweka Rais Wetu Kwenye Maombi. Daima alitusisitiza Kwenye Kufanya Dua lakini Wanasiasa Uchwara wamemuangusha. Pumzika Kwa Amani Rais na Lawama hizi Zimfikie Waziri Mkuu popote ulipo. Zikufikie msemaji Wa Serikali Kwa Kushindwa Kuongea mambo muhimu ya kiserikali na kuja kutudanganya. Lawama Hivi ziwafikie wabunge wote na Wengine. PUMZIKA KWA AMANI RAIS WETU
Kumefanyaje?Narudi tena kanisani.
UBAYA UBAYA TU - JPM.RIP presida JPM, Tundu Mabaga na mabwana zake roho zao zitakuwa zimesuuzika.
Kumbe alikuwa anaumwa! Mbona serikali haikutuambia? Waachiwe wote waliokamatwa na la Sirro kwa ' uzushi' wa ugonjwa wa JPM.Sad Rip
Kuna mambo ya kuleta uongo lakini kitendo alichofanya katelephone ,ze comedian chalamila ,mwigulu ni utopolo....Huawezi kudanyanya afya ya rais kwa kusema yupo safi anachapa kazi wakati mtu yupo ICU.Duh pole aisee kumbe ulikuwa huamini zile taarifa za akina vigogo na wenzake ulijua ni uongo .Nakubali sana raisi wetu alikuwa ni mtu wa maombi sana hata kama angekufa basi hata cku mbili engepata nafuu ya kutusalimia lkn ni uongo wa serkali uliwaaminisha Watanzania kama raisi ni mzima na anafanaya kazi zake Lawama zote ni za wale waliosema uongo.
Ulipopewa jogoo kule Kibiti ulisema na baba yako ameshafariki, yule mtu anaweza kuwa baba yako....
Kila nafsi itaonja mauti.Ndio basi tena
Apumzike kwa amani