Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
R.i.p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee pole sana.
Nadhani wote MAJALIWA, SAMIA,BASHE,CHALAMILA wanapaswa kuachia ngazi mara moja.
Sisi binadamu, huwa tunajua umuhimu wa mtu pale aondokapo.Tumepoteza mtu wa maana sana Watanzania basi tuu, tutamkumbuka... RIP Magufuli
Ndio amemaliza kupitia mafaili yake hivyo.Majaliwa ni muongo mkubwa sana na hii Serikali yote, “Rais yuko busy anapitia mafaili yake mnataka mmuone akizurura Kariakoo au Magomeni.”
Kwani ulitegemea atapumzika asipostahili?Mama Samia akiwa kama rais ajae.
Alete uchumi imara uliosinyaa na sera nzuri za ustawi na mshkamano wa taifa letu.
Magufuli apumzike anapostahili.
Tatizo hakuna chanjo yenye uhakika mpka Sasa, yote ni majaribio.Chanjo muhimu sana ndugu zangu tuache porojo.Mungu akupumzishe Bwana Mkubwa