TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Yaani ulishapanga na mahali pa kuzika kabla ya serikali?
 
Nchi imezizima kwa huzuni kubwa ya kuondokewa na kipenzi cha watanzania.

Hakika Hayati Rais Magufuli ametikisa Afrika na Dunia kwa ujumla.

Huu ni msiba wa Afrika nzima.
R.I.P JPM
 
Ina maana nchi hii inanini na maraisi wakristo hakuna hata mmoja... Bora kutembea kwenye namba SHUFWA katika awamu za uraisi .. Witiri na tasa yamkini zina gundu
 
Protocols za mazishi wakati huu wa COVID 19 zikoje? Large gatherings = super spreader events.
 
Mambo ya kuwadharau wataalamu wa magonjwa hatari duniani hizi ndiyo athari zake.
Hivi huchoki? Sasa ameshatangulia mbele za haki, bado tu unalalamika?! Unataka tukusaidie nini sasa, ? Maana ulimchukia baba wa watu utafikiri alikupita nyuma unakunya, sasa kaondoka tafuta mwingine wa kumchukia, maana unajifanya wewe ndio mtu sana kuliko wengine,

Sasa huu ni wakati wa kutafuta mbuzi uchinje ili ufurahi zaidi, maana aliyekwamisha maisha yako kuendelea kaondoka,

Una chuki sana wewe
 
Wasipoweka utaratibu mzuri wa kumuaga Hayat JPM, nadhani tutaongeza hesabu ya vifo zaidi kwa watu kukanyagana!
Ni kweli yani utaratibu uwekwe alafu utangazwe watu waelewe wasije kufikiri kwamba ni siku moja wakajaa wengi uwanjani
 
Halafu nawalaumu wasaidizi wake kwa nini hawakumshauri Mapema? na kumuwekea Daktari maalumu wa kuangalia Afya ya mtu mkubwa km Rais?? hawakuona umuhimu wa Daktari? ni aibu iso kifani Rais kupigika kiafya bila Tabibu wake!

Tena Dr ni Daktari Bana!! wana maajabu yao hawa jamaa!! wanajua vitu vya afya kiundani sana!! hata angeweza tembea na chanjo sijui dawa ya covid!! mfukoni kwa dharula zaidi sababu wanajua kweli na longo!!longo!! kuhusu afya ya Binadamu!

Nyerere alikuwa nae Dr David Mwakyusa, tuliwajua mpaka juzi juzi hapa wa Kikwete Kila alicho fanya Mchonga alikuwa anashauriwa na Daktari wake ki afya zaidi ''Mzee sasa kwa hali hii Pumzika baba utaumia'' anasoma ECG tu basi inampa mwongozo!

Yaani sitaki kusikia kuwa Alikuwa kauzu mpaka Daktari wake aliogopa kumshauri??? au aliona anapoteza Pesa bure kumlipa Daktari? eti anakula kona kila mara!!! wagonjwa wa Moyo, yeyote! hata Nurse tu! muelewa anaweza ku control Heart beats za mgonjwa akabaki salama.

Mbona huyo Daktari hatumuoni kusema lolote hapa? atupe brief ya Heart fibrillation hizo!! hii inakuwa monitored, hata na ndugu mwenye uzoefu tu! au kuna jingine nyuma ya pazia? wagonjwa wa Mioyo wamejaa humu Bongo!! tena buheri wa afya! why not a Presdent???

Hapa walio kuwa washauri wa Rais wawajibishwe mara moja hii isiende hivihivi kienyeji!!! au ndo ile kuishi kiswahili!!! swahili tuuuu!!
Na hili likikaa kimya hivii, sintokubali ntakuwa na wasiwasi juu ya Diagnosis yao, hao! walio itoa!!!

Kwa muktadha huu Nitaipeleka sirikali Mahakamani kama mwananchi mkereketwa!! na mpiga kura ni haki yangu kujua, nataka haki ya kura yangu itendeke! inaonekana kuna kauzembe ka maksudi kalifanyika hapo!! mpaka Rais eti afe na Heart Fibrillations!!

Huu ugonjwa unaanza km speed ya Gari, huwezi kuanza na gia kubwa. gari, halitoki!! sasa wakati unaanza ugonjwa ni Rahisi sana kwa Nurse au Daktari aliye soma kujua na kuzisoma dalili haraka, sometimes akiwa mzoefu hata akikaa tu au kunyanyuka anajua Rais hapa tayari ana tatizo!!

Hata huyu!! jamaa huyu!! anaejifichaga nyuma ya chogo la Rais !! Maarufu km ''Board guard wa Rais'' si nimesikia huyu ni Daktari?? yeye huyu! jamaa?? sasa ilikuwaje asijue mapema tatizo wakati ni Mtaalamu wa tiba?? na anatembea nae kila siku??? anaamka nae??

Tuanze nae huyu jamaa unless other wise asiwe Dr!! lkn hata hivo wanapewaga mafunzo maalum ya uwokozi wa afya ya Msingi!!! ya dharula kabla ya kufika kwa Hosp. mfano Rais kapaliwa ghafla!!! anatakiwa afanyeje?? au amezimia ghafla!!

Ajue kwa nini imetokea!! na njia mbadala ya kumsaidia Rais asidhalilike wala kudhurika bila sababu ya msingi katika mazingira yeyote yale! au tuseme Rais ametapika ghafla, si mbaya akiwa na ndimu mfukoni ikamsaidia!! yule ni msadizi wake wa karibu!!

Siyo eti kulinda risasi tuuu!! na watu wenye vinyongo na Rais!! hapana na hili la afya ya dharula na ya msingi, na mengine ni muhimu mno! nchini Israel huyu ana la kujibu tu!! km walijua Rais ana tatizo hilo muda mrefu, huyu jama ilipaswa ajue hili kuwa km ikitokea ghafla bin vuuu!! wako mkomaindo huko karibu na msumbiji ilipaswa ajue

Na je? amuweke mkao gani Rais !! ili Blood circuralatio ilirudi kawaida ifanye kazi vizuri kwa ubongo! faster na mambo yaende!! kabla ya kufika kwa Hosp, sababu kubwa ni kwamba hawa wanasiasa wanaongea sana. na si kwamba wanaongea wamelala la hasha wamesimama. wanaangukaga hawa wazee!!

Mbaya zaidi tena umri wenyewe huo basi!! JKT mliopita kule!! Makuruta wangapi vijana wadogo tu!! walikuwa wanaanguka hovyo na ghafla ajili ya kusimama muda mrefu juani kunako kwata?? sembuse mzee wa miaka 80? tena hajala!!!

Daktari kwa taaluma zao ana uwezo wa kujua tatizo mapema mnooo!! ni kama wachawi! hata km mtu huyu!! anamuona kwa mara ya kwanza! anapoingia ofisini kwake tu na kukaa!! ndo maana wana tuandikia vipimo ambavyo hata hatuvijui! kwa nini wamewaza hivo!!

Siku Rais akidhoofu tu!! utamuona machoni hivi!!! hata kama leo hajala vizuri!! hata kama amekosa usingizi! ! mara moja Dr wake ana muona kabla ya kumuuliza Rais kiini cha tatizo!! so atajua hii si kawaida!!

Atakacho fanya ni anamuita Daktari professional wa Rais, na yeye mwenyewe Body guard wanakaa watatu, faster wana shauriana na kuchukua hatua za haraka ikiwa ni pamoja na vipimo vya awali!! na ushauri juu!! zinafuata hatua nyingine!!

Hata km wakimpeleka Hospital ,
wanajua fika kiini cha tatizo la Rais ni nini, na kutoa vipimo vyao vya awali kwa madaktari wa zamu, kurahisisha kazi ya Daktari na ma Nurse wanao mpokea mgonjwa faster na kujua kiundani wana fanya nini? hatua kwa hatua!! kitaaluma wana virudia tena upya ili kujiridhisha pia!! wakati huo tiba zinaendelea kwa kasi!

Haya yoote haya kufanyika! sababu ni mara ya kwanza High prolific figure kutibiwa nchini!! Tukiwaambia imarisheni sector ya Afya hamtaki! ndo kwanza mnawatumbua wenye uzoefu!!

Fikiria mtu mpaka amefikia kufoji cheti akatibu au kuokoa watu!! huyu mtu ni hazina adimu tena ana Moyo!! tena mzuri sana!! ni kumsaidia tu asonge na kuwa mbunifu tu!! mishahara yenyewe iko wapi Bongo?? kada yenyewe hii? adimu Duniani kote!!

Hivi umeona Madaktari wanavo chezea vinyesi weye!!! huko Labour ward?? Bado hujaenda Surgical wards watu wamesha oza kabisa miili, lkn hawa jamaa ajili ya wito wagonjwa wanafukuliwa wanatengenezwa upya, lkn mswahili anachukia mtu km huyu!! pwiii!!

Hapa ukiwatumbua watu wa afya! lazima!! Mungu akasirike ukiwa tumbua watu km hawa!! angalia COVID hii yooote lkn madaktari wamo tu wanakazana na sisi!! basi tuwape Moyo mnawatumbua tena!!! yaani watu wanaokoa maisha yetu!!!!!!?? sijawahi ona!

Ona sasa mmezoea kukimbilia Ulaya!! lkn nao huko wamezidiwa!! ni kila mtu afie kwake, wameona sasa basi hatuwataki!!! bado unarudi tena kutibiwa na wale wale ulio tumbua wenzao waliopigika wote MNH.na hawajiamini hata wao waweza wageuka any time!!

Ulaya wakimpata Daktari mmoja tu! hata km huna vyeti wanakupa Mitihani yao tu, wanaangalia na je kipaji kimo??!! ..walahi watakupiga shule hiyo!!! tena na covid hii!!! mpaka ulie poo!

Tena kwa mtindo huu wa tumbua tumbua za visasi za Bongo Land!! huta kaa uwaze kurudi Bongo!!! Ndo maana Madaktari mmefungiwa msitoroke humo nchini!! yaani mkae hivo hivo siku mkijua tamu!!! heee!! mtaondoka woteeee! nchi itaanza upya!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…