TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Ikumbukwe kuwa JPM alikuwa kipenzi cha watu wa hali ya chini ambao ndio wengi katika nchi hii.

Tutegemee uwanja atakapoagwa utajaa sana na patakuwa hapatoshi kama wataamua aagwe siku moja tu!

Ombi langu ni kupata muda wa kumuaga hata kwa siku tatu kabla ya kwenda huko Chato!

Hii itasaidia sana kupunguza misongamano na watu kukanyagana na itasaidia watu kupata muda muafaka kuaga.
Hivi wewe huo muda unaupata wapi?Mlisha ambiwa mtumie muda wenu kuchapa kaaziii
 
Ikishakuwa ni busara basi ni busara. Unatumia vigezo vyako unaamua. Mfano, huyu alichoiba anacho, nikimfunga atakoma yeye na familia yake na hela alizoiba hazitarudi ila nikimnyang'anya alichoiba nitakuwa nimefaidika na yeye atajibeba; huyu alichoniibia kaishakula, namfukuza ili asiendelee kuniibia..
Zile fedha zao mafao ni zao mkuu wamezitumikia hata kama umemfukuza.
 
Wasipoweka utaratibu mzuri wa kumuaga Hayat JPM, nadhani tutaongeza hesabu ya vifo zaidi kwa watu kukanyagana!
 
Waliokuwa wanamwelewa Jpm ni wachache sana, hata kwenye kuaga watakuwa wachache, nahisi hivyo.
 
Yaani mtu upoteze muda wako kwenda kumuaga Sadist? Labda uwe unaenda kuhakikisha kafunga mdomo au hajafunga maana ule mdomo ulikuwa si mzuri.
Kutafulika sana na itabaki history duniani. Leo nimeshuudia watu wanalia mitaani wanamlilia kipenzi chao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom