TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Dah.....sjaenda job leo..sjatoka nje..ndo nataka nitoke hapa nikapate hta kilevi nirud nilale

Sitak kuamin kifo cha mzee huyu kimenigusa kias hiki.daah

Mim huwa sitoi choz kizembe ila jana leo nmeshangaa sana...

Kiukwel nmeamin "he was a great man"

Niishie hapo...nadhan nijipe off kidogo na jf kwa miez kadhaa...

Stak witness arguments chafu za kumuhusu mzee .

RIP john pombe.

See you june guys.
 
NANDERA Busara ni muhimu au hutumika katika maamuzi ambayo yataleta madhara makubwa!!

Kwahiyo DPP kuwatoa wezi,wabakaji ,wahujumu uchumi kwa kukaa nao mezani ni halali au
Ikishakuwa ni busara basi ni busara. Unatumia vigezo vyako unaamua. Mfano, huyu alichoiba anacho, nikimfunga atakoma yeye na familia yake na hela alizoiba hazitarudi ila nikimnyang'anya alichoiba nitakuwa nimefaidika na yeye atajibeba; huyu alichoniibia kaishakula, namfukuza ili asiendelee kuniibia. Uamuzi wowote una madhara ila binafsi siamini kama kuwabakiza au kuwafukuza kisha uwalipe walicholimbikiza katika mazingira ya udanganyifu ilikuwa busara madhara yake yalishuka chini mpaka kwangu. Hilo zoezi JK alijaribu kulifanya miaka ya 2007, 2008 hivi lakini liliondoa vidagaa tu. Kwetu waliondoka masekretari. Ninaamini alishindwa kulisimamia na si kwamba alitumia busara japo anazo.
 
Wanadamu ni wanafiki sana leo natafuta comment zenu sizioni.

Ila ndivyo ilivyo vitu vyema havidumu Mungu amlaze pema peponi.

Hakika rais Magufuli alikuwa mtu wa Mungu binafsi namfananisha na Mussa aliyetumwa kuwapeleka watanzania kwenye nchi ya matunda ,maziwa na asali.

Naamini Mungu hatatuacha wapweke bali atatuletea Joshua ambaye atatufikisha Tanzania kwenye nchi ya ahadi.

Amen!
Marehemu hasemwi vibaya kwa mila za Kiafrika.

We unachotaka nini kwani?
 
Dah.....sjaenda job leo..sjatoka nje..ndo nataka nitoke hapa nikapate hta kilevi nirud nilale

Sitak kuamin kifo cha mzee huyu kimenigusa kias hiki.daah

Mim huwa sitoi choz kizembe ila jana leo nmeshangaa sana...

Kiukwel nmeamin "he was a great man"

Niishie hapo...nadhan nijipe off kidogo na jf kwa miez kadhaa...

Stak witness arguments chafu za kumuhusu mzee .

RIP john pombe.

See you june guys.
Hypocrisy will kill you one day!
 
Ikumbukwe kuwa JPM alikuwa kipenzi cha watu wa hali ya chini ambao ndio wengi katika nchi hii.

Tutegemee uwanja atakapoagwa utajaa sana na patakuwa hapatoshi kama wataamua aagwe siku moja tu!

Ombi langu ni kupata muda wa kumuaga hata kwa siku tatu kabla ya kwenda huko Chato!

Hii itasaidia sana kupunguza misongamano na watu kukanyagana na itasaidia watu kupata muda muafaka kuaga.
 
90% ya watz wamehuzunika machoni, ila mioyoni mwao ni kiza kinene kwa kweli hatuna cha kusema!!!
 
Nilichogundua hizo zinazoitwa chuki sijui blah blah zimejaa huku mitandaoni, tena wengine wanashabikia kwa kufuata mkumbo tu.

Ila ukweli ni kwamba wengi wameumizwa sana na huu msiba, hata hao waliokuwa wanapiga makelele na kumwombea mabaya, wote wanasikitika na hawaamini. Atakumbukwa kwa mazuri yake. Apumzike kwa amani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom