TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Wewe scars unajitekenya angalia maana utacheka mwenyewe...

Yule afande ni bhangi plus uchafu jazia na laana juu, tena namtabiria hatachukua raundi majibu yake Tanzania yote kama siyo dunia nzima watayajua
 
Amebadilisha tu mazingira ya kazi kwani alikoenda anakwenda kuendelea na majukumu yake ya kiuongozi as ussual ila tofauti ni kwamba huko ataongoza malaika
 
 
Katukana nn?mbna uzi hauna nyama huu? yaani unaeleza as if wote tumemsikia...
Katukana vibaya sana shida sisi wengine kusambaza tunaami i kuwa na wewe unashiriki kumtukana Mungu itafute tu hiyo audio na baadae nadhani baada ya kushauriwa na watu wa kari u kaomba radhi kwa clip nyingine
 

Huyo rasta mjinga sana,alichanganya bangi na chumvi.
Mungu ameshamsamehe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…