Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Rest in peace Mh Magufuli, umeonyesha njia kwa kweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaachiwa keshoSasa wale waliokamatwa kukusema ni mgonjwa waachiwe huru haraka sana.
Wewe kweli umevurugwa, Bunge na Baraza la Mawaziri vina kazi gani, mbona watangulizi wake hawakufanya hivyo?Lakini katiba inamruhusu rais kufanya jambo lolote hata bila ridhaa, ruksa au ushauri wa yeyote
Sisi siyo kisiwa, na nakumbuka maneno yako kwamba tusijidanganye kuwa wazungu hawajui tunachofanya.Wazungu na Waafrika wametoa Madukuduku yao juu ya hali ya Tanzania ( hasa Kiutawala, Kidemokrasia, Kiustawi na Kimwenendo wake ) mzima kuliko vile ambavyo Sisi tuliopo hapa hapa nchini tungeweza Kuelezea ( Kuchambua ) Kiundani zaidi.
Uliza katiba iliyompa nguvu hiyo RaisWewe kweli umevurugwa,Bunge na Baraza la Mawaziri vina kazi gani,mbona watangulizi wake hawakufanya hivyo?
Haijalishi, kikubwa ni kujali utu na Uhuru wa watu.Haya sasa waliokuwa wanalalamika maisha magumu watakuwa matajiri na ajira zitaongezeka.
We ngoja mambo yachanganye watu si wanaona ni heri ila tutamkumbuka sana kwa mazuri ila kwa kweli hichi kifo cha huyu mtu kimenitoa katika amani ya moyo sana, hakuna binadamu mkamilifuMimi ninachosema tu ni kuwa Magufuli atakumbukwa sana kwa mengi, sio wanachato tu, sio kwa SGR na reli ya kisasa tu.
Hata kama hakupendwa na wengi ila atakumbukwa na wengi.
Taarifa walikua nazo. Lakini nadhani walikua na hopes halafu pia kuepusha taharuki nadhani hivyo walivyofanya ni sahihi despite the bad credibility walopata
Mjomba mpaka 2025 mambo yatakuwa zigizaga, tatizo one man show ndiyo imetufikisha hapa. Kifo kinaumiza haijalishi mtu aliishi vipi na watu duniani lakini kuna vifo vinaweza kuepukika. Hawa watu waache sasa sayansi ifanye kazi mambo ya nyungu sijui nini nini ni porojo tu zisizo na kichwa wala miguuTuanze kuuza midege maana inatuingiza hasara tu.
Weka hapa hivyo vifungu ambavyo watangulizi wake walikuwa hawavijuiUliza katiba iliyompa nguvu hy rais
Kaingia asiye na Kambi... Kwa mbaali naona kambi ya JK ikichekeleaAongezewe muda, asipotaka tutamlazimisha..kumbe Sir God naye ana mipango yake
Una miaka mingapi? You sound like umezaliwa jioni ya Jana. Yesu alishaonja mauti na akayashinda...Yesu ana kumwambia gani wakAti yeye ni binaadAmu kamA SISI? ILA YEYE NI MTUME NAYE atAonja hmauti pia
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mungu nakushuru sana kwa maisha ya kiongozi wetu Dr Joseph Pombe Magufuli. Alikuwa mzalendo kweli kweli na pengo hakika litakuwa ni kubwa. Tunakuomba Mungu wetu utupe faraja yako ya kweli na ulivushe salama taifa letu. Amen.DUH, RAIS WETU, ILA MUNGU ATUPE WEPESI
Jamaa amechanganyikiwa upigaji tena hakuna,mbuyu waliokuwa wameegemea umedondoka.Wewe kweli umevurugwa,Bunge na Baraza la Mawaziri vina kazi gani,mbona watangulizi wake hawakufanya hivyo?
Mkuu sipo kabisa kwenye siasa na wala sitakuja kujihusisha na siasa ila nitatumia haki yangu kikatiba kutoa maoni,kwahiyo haya ni maoni yangu na wala sitaki cheo chochote,kazi yangu ya kuchoma mkaa,udalali na ufundi ujenzi unanitosha kuendesha maisha.Nasikia lissu angekuwa Rais bc ungepata nafasi mzur huko serikalini
Mi kuna mambo nilikubaliana naye, kuna mambo sikukubaliana naye.Kumbe kuna watu wengine humu walikuwa wanamkubali Magu japo kimya kimya?!!!
Ukizingatia kuwa alikuwa muumini wa maombi na siku zote alitutaka watanzania tumuombeeKwanini afya ya mtumishi wetu ifichwe na ifanywe Siri? No hili wanaohusika wametukosea watuombe radhi afya ya Rais wa nchi inafanywa Siri? Kwanini tusingeambiwa tukamuombea pengine angepona maana Jambo lolote mola hulibadili kwa maombi
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Umeteseka sana mkuu?Mnapata shida kwasababu mlishamuona yeye ni mungu mtu,hatakufa.
Mtu akifanya mazuri ni lazima asifiwe na wala sio kumuona mungu mtuMnapata shida kwasababu mlishamuona yeye ni mungu mtu,hatakufa.
Umeandika mambo muhimu sana mkuu.Nasikia mpak 2025.
Cha muhimi atibu madonda ya chuki yaliyopandikizwa na boss wake.
Watu warudishiwe uhuru wao.
Inakera sana kuishi kwa uoga nchini mwako.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unatakiwa uoneshe umuhimu ukiwa hai.Baada ya kuondoka ndio sasa mtauona umuhim wake