Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inaitwa kwaherini chambiri chambiri chatupe whaaah.
Utawaona wataludi maana mara ya kwanza walishindwa kule dodoma kwa kumtila sumu hawamu hii ya pili wamewezahivi hawa wachimba madini kwanza wako wapi?
Dogo SemenyaHiyo inaitwa kwaherini chambiri chambiri chatupe whaaah.
Mi naja ila basi langu limechelewa tu nasubiri.
Wanavyoagana utafikiri walijua watakufaHiyo inaitwa kwaherini chambiri chambiri chatupe whaaah.
Mi naja ila basi langu limechelewa tu nasubiri.
Pole sana mkuu.Halafu nawalaumu wasaidizi wake kwa nini hawakumshauri Mapema? na kumuwekea Daktari maalumu wa kuangalia Afya ya mtu mkubwa km Rais?? hawakuona umuhimu wa Daktari? ni aibu iso kifani Rais kupigika kiafya bila Tabibu wake!
Tena Dr ni Daktari Bana!! wana maajabu yao hawa jamaa!! wanajua vitu vya afya kiundani sana!! hata angeweza tembea na chanjo sijui dawa ya covid!! mfukoni kwa dharula zaidi sababu wanajua kweli na longo!!longo!! kuhusu afya ya Binadamu!
Nyerere alikuwa nae Dr David Mwakyusa, tuliwajua mpaka juzi juzi hapa wa Kikwete Kila alicho fanya Mchonga alikuwa anashauriwa na Daktari wake ki afya zaidi ''Mzee sasa kwa hali hii Pumzika baba utaumia'' anasoma ECG tu basi inampa mwongozo!
Yaani sitaki kusikia kuwa Alikuwa kauzu mpaka Daktari wake aliogopa kumshauri??? au aliona anapoteza Pesa bure kumlipa Daktari? eti anakula kona kila mara!!! wagonjwa wa Moyo, yeyote! hata Nurse tu! muelewa anaweza ku control Heart beats za mgonjwa akabaki salama.
Mbona huyo Daktari hatumuoni kusema lolote hapa? atupe brief ya Heart fibrillation hizo!! hii inakuwa monitored, hata na ndugu mwenye uzoefu tu! au kuna jingine nyuma ya pazia? wagonjwa wa Mioyo wamejaa humu Bongo!! tena buheri wa afya! why not a Presdent???
Hapa walio kuwa washauri wa Rais wawajibishwe mara moja hii isiende hivihivi kienyeji!!! au ndo ile kuishi kiswahili!!! swahili tuuuu!!
Na hili likikaa kimya hivii, sintokubali ntakuwa na wasiwasi juu ya Diagnosis yao, hao! walio itoa!!!
Kwa muktadha huu Nitaipeleka sirikali Mahakamani kama mwananchi mkereketwa!! na mpiga kura ni haki yangu kujua, nataka haki ya kura yangu itendeke! inaonekana kuna kauzembe ka maksudi kalifanyika hapo!! mpaka Rais eti afe na Heart Fibrillations!!
Huu ugonjwa unaanza km speed ya Gari, huwezi kuanza na gia kubwa. gari, halitoki!! sasa wakati unaanza ugonjwa ni Rahisi sana kwa Nurse au Daktari aliye soma kujua na kuzisoma dalili haraka, sometimes akiwa mzoefu hata akikaa tu au kunyanyuka anajua Rais hapa tayari ana tatizo!!
Hata huyu!! jamaa huyu!! anaejifichaga nyuma ya chogo la Rais !! Maarufu km ''Board guard wa Rais'' si nimesikia huyu ni Daktari?? yeye huyu! jamaa?? sasa ilikuwaje asijue mapema tatizo wakati ni Mtaalamu wa tiba?? na anatembea nae kila siku??? anaamka nae??
Tuanze nae huyu jamaa unless other wise asiwe Dr!! lkn hata hivo wanapewaga mafunzo maalum ya uwokozi wa afya ya Msingi!!! ya dharula kabla ya kufika kwa Hosp. mfano Rais kapaliwa ghafla!!! anatakiwa afanyeje?? au amezimia ghafla!!
Ajue kwa nini imetokea!! na njia mbadala ya kumsaidia Rais asidhalilike wala kudhurika bila sababu ya msingi katika mazingira yeyote yale! au tuseme Rais ametapika ghafla, si mbaya akiwa na ndimu mfukoni ikamsaidia!! yule ni msadizi wake wa karibu!!
Siyo eti kulinda risasi tuuu!! na watu wenye vinyongo na Rais!! hapana na hili la afya ya dharula na ya msingi, na mengine ni muhimu mno! nchini Israel huyu ana la kujibu tu!! km walijua Rais ana tatizo hilo muda mrefu, huyu jama ilipaswa ajue hili kuwa km ikitokea ghafla bin vuuu!! wako mkomaindo huko karibu na msumbiji ilipaswa ajue
Na je? amuweke mkao gani Rais !! ili Blood circuralatio ilirudi kawaida ifanye kazi vizuri kwa ubongo! faster na mambo yaende!! kabla ya kufika kwa Hosp, sababu kubwa ni kwamba hawa wanasiasa wanaongea sana. na si kwamba wanaongea wamelala la hasha wamesimama. wanaangukaga hawa wazee!!
Mbaya zaidi tena umri wenyewe huo basi!! JKT mliopita kule!! Makuruta wangapi vijana wadogo tu!! walikuwa wanaanguka hovyo na ghafla ajili ya kusimama muda mrefu juani kunako kwata?? sembuse mzee wa miaka 80? tena hajala!!!
Daktari kwa taaluma zao ana uwezo wa kujua tatizo mapema mnooo!! ni kama wachawi! hata km mtu huyu!! anamuona kwa mara ya kwanza! anapoingia ofisini kwake tu na kukaa!! ndo maana wana tuandikia vipimo ambavyo hata hatuvijui! kwa nini wamewaza hivo!!
Siku Rais akidhoofu tu!! utamuona machoni hivi!!! hata kama leo hajala vizuri!! hata kama amekosa usingizi! ! mara moja Dr wake ana muona kabla ya kumuuliza Rais kiini cha tatizo!! so atajua hii si kawaida!!
Atakacho fanya ni anamuita Daktari professional wa Rais, na yeye mwenyewe Body guard wanakaa watatu, faster wana shauriana na kuchukua hatua za haraka ikiwa ni pamoja na vipimo vya awali!! na ushauri juu!! zinafuata hatua nyingine!!
Hata km wakimpeleka Hospital ,
wanajua fika kiini cha tatizo la Rais ni nini, na kutoa vipimo vyao vya awali kwa madaktari wa zamu, kurahisisha kazi ya Daktari na ma Nurse wanao mpokea mgonjwa faster na kujua kiundani wana fanya nini? hatua kwa hatua!! kitaaluma wana virudia tena upya ili kujiridhisha pia!! wakati huo tiba zinaendelea kwa kasi!
Haya yoote haya kufanyika! sababu ni mara ya kwanza High prolific figure kutibiwa nchini!! Tukiwaambia imarisheni sector ya Afya hamtaki! ndo kwanza mnawatumbua wenye uzoefu!!
Fikiria mtu mpaka amefikia kufoji cheti akatibu au kuokoa watu!! huyu mtu ni hazina adimu tena ana Moyo!! tena mzuri sana!! ni kumsaidia tu asonge na kuwa mbunifu tu!! mishahara yenyewe iko wapi Bongo?? kada yenyewe hii? adimu Duniani kote!!
Hivi umeona Madaktari wanavo chezea vinyesi weye!!! huko Labour ward?? Bado hujaenda Surgical wards watu wamesha oza kabisa miili, lkn hawa jamaa ajili ya wito wagonjwa wanafukuliwa wanatengenezwa upya, lkn mswahili anachukia mtu km huyu!! pwiii!!
Hapa ukiwatumbua watu wa afya! lazima!! Mungu akasirike ukiwa tumbua watu km hawa!! angalia COVID hii yooote lkn madaktari wamo tu wanakazana na sisi!! basi tuwape Moyo mnawatumbua tena!!! yaani watu wanaokoa maisha yetu!!!!!!?? sijawahi ona!
Ona sasa mmezoea kukimbilia Ulaya!! lkn nao huko wamezidiwa!! ni kila mtu afie kwake, wameona sasa basi hatuwataki!!! bado unarudi tena kutibiwa na wale wale ulio tumbua wenzao waliopigika wote MNH.na hawajiamini hata wao waweza wageuka any time!!
Ulaya wakimpata Daktari mmoja tu! hata km huna vyeti wanakupa Mitihani yao tu, wanaangalia na je kipaji kimo??!! ..walahi watakupiga shule hiyo!!! tena na covid hii!!! mpaka ulie poo!
Tena kwa mtindo huu wa tumbua tumbua za visasi za Bongo Land!! huta kaa uwaze kurudi Bongo!!! Ndo maana Madaktari mmefungiwa msitoroke humo nchini!! yaani mkae hivo hivo siku mkijua tamu!!! heee!! mtaondoka woteeee! nchi itaanza upya!!
Kumbe wamesema hakuwa na daktari?Halafu nawalaumu wasaidizi wake kwa nini hawakumshauri Mapema? na kumuwekea Daktari maalumu wa kuangalia Afya ya mtu mkubwa km Rais?? hawakuona umuhimu wa Daktari? ni aibu iso kifani Rais kupigika kiafya bila Tabibu wake!

Gbadolite in making.Sasa kile kiwanja cha ndege, na mabank na taa za barabari itakuaje? Zitatolewa au Chato itakua chatro
Nenda salama mpigania wanyonge, kazi zako zitalitangaza Jina lako miaka Nenda rudiNi nafuu wakuchukie... uonekane wewe sio Mwanasiasa mzuri (Unpopular) kwasababu sikuja kutafuta Mchumba. Nimekuja Kufanya kazi za Watanzania." - Septemba 7, 2017
Yaani natafakari nashindwa kuelewa walituona sisi wajinga? au mazezeta?. Nini faida ya kusema uongo wao.kwa hili wajitathimini. AIBU HAITOTOKA KATIKA NYUSO ZAO.
Leo hii kina LISU wataonekana wakweli na kuaminika zaidi. Ukweli wamemkosea Heshima sana huyu mzee. Rip Mh Magufuri uliowaamini hawakutaka tukuombe walituficha kuumwa kwako na walituambia upo UNAPIGA KAZI.
Nenda pumzika tupo nyuma tunakuja. NAAMINI IPO SIKU TUKIWA ULIMWENGU MWINGINE UTAUWAULIZA KWANINI.
HAMKUWAJULISHA WATANZANIA KUUMWA KWAKO. UMEUMIZA SANA.
Jamani look at the clip where he said walimpa sumu na akapona sasa wameweza. I feel bad for someone to be killed like that. Alikuwa amekata mirija ya corruption. Tanzania tumerudi kubaya tena. SaD story.Sina huruma nae Magu, kaua ndugu yangu kwa mapanga, ubongo ukachuluzika mithili ya supu nzito ya nguruwe.. Mapolisi wakafanya uchunguzi wakasema ni ugomvi wa mapenzi, Pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa wana CCM hakuna hata mmoja aliyekamatwa.
Kisa cha yote ni ndugu yetu kuwa Diwani wa Chadema, hilo lilkuwa kosa kwao wakamuua kikatili kwa Mapanga .
Leo kwetu ni sherehe, wanafamilia tunasherekea mbuzi,anachinjwa.
R.I.P my bro, watesi wako wanakufata taratibu.
Kila la kheri Samia
na yeye ameji snitch,alipuuza tahadhari na kudharau koronaRais wetu washauri wake ndo wamemsnitch
They killed himYaani natafakari nashindwa kuelewa walituona sisi wajinga? au mazezeta?. Nini faida ya kusema uongo wao.kwa hili wajitathimini. AIBU HAITOTOKA KATIKA NYUSO ZAO.
Leo hii kina LISU wataonekana wakweli na kuaminika zaidi. Ukweli wamemkosea Heshima sana huyu mzee. Rip Mh Magufuri uliowaamini hawakutaka tukuombe walituficha kuumwa kwako na walituambia upo UNAPIGA KAZI.
Nenda pumzika tupo nyuma tunakuja. NAAMINI IPO SIKU TUKIWA ULIMWENGU MWINGINE UTAUWAULIZA KWANINI.
HAMKUWAJULISHA WATANZANIA KUUMWA KWAKO. UMEUMIZA SANA.
Yesu wa Nazareth aliye hai. Alishinda kifo na kaburi lake liwazi hadi leo pale Israel. Kila aliyepata Neema na Hekima itokayo kwa yeye Mungu ampokee, atubu dhambi zake abatizwe.
Na hii ndio njia pekee ya kufika katika ufalme wa Mungu mbinguni. Hapana jina lingine lipaswalo kuabudiwa ila Yesu. Na kwake Yesu kila goti litapigwa siku ili ya hukumu ya mwisho/ kiama.
And in the sixth month the angel Gabriel was sent from God unto a CITY of Galilee, named Nazareth, To a virgin espoused to a man whose name was Joseph, of the house of David; and the virgin’s name was Mary.
(Luke1.26,27)
And all went to be taxed, every one into his own city. And Joseph also went up from Galilee, out of the CITY of Nazareth, into Judaea, unto the city of David, which is called Bethlehem; because he was of the house and lineage of David:
(Luke 2.3,4)
But when he heard that Archelaus did reign in Judaea in the room of his father Herod, he was afraid to go thither: notwithstanding, being warned of God in a dream, he turned aside into the parts of Galilee: And he came and dwelt in a CITY called Nazareth: that it might be fulfilled which was spoken by the prophets, He shall be called a Nazarene.
(Matthew 2.22,23)
And when they had performed all things according to the law of the Lord, they returned into Galilee, to their own CITY Nazareth. And the child grew, and waxed strong in spirit, filled with wisdom: and the grace of God was upon him.
(Luke 2.39,40)
• Nazareth is not mentioned even once in the entire Old Testament. The Book of Joshua (19.10,16) – in what it claims is the process of settlement by the tribe of Zebulon in the area – records twelve towns and six villages and yet omits any 'Nazareth' from its list.
• The Talmud, although it names 63 Galilean towns, knows nothing of Nazareth, nor does early rabbinic literature.
• St Paul knows nothing of 'Nazareth'. Rabbi Solly's epistles (real and fake) mention Jesus 221 times, Nazareth not at all.
• No ancient historian or geographer mentions Nazareth. It is first noted at the beginning of the 4th century.
Mbona alikuwa na convyoy ya madaktari na gari Maalum la kumlinda kiafya? Wakati mwingine watu wanafanya majukumu kwa kuangalia mwelekeo wa boss. Na kuogopa kuwa critical maana ukiwa hivyo kesho kazi huna. Alishasema hadharani kuwa "Mimi sipingwi"Halafu nawalaumu wasaidizi wake kwa nini hawakumshauri Mapema? na kumuwekea Daktari maalumu wa kuangalia Afya ya mtu mkubwa km Rais?? hawakuona umuhimu wa Daktari? ni aibu iso kifani Rais kupigika kiafya bila Tabibu wake!